Kwa bahati mbaya sana sitazamagi hizo series za kikorea wala kifilipino hivyo sijui ni ndoa gani unaongelea. Mie utanikuta kwenye movies za kimarekani au kiingereza tena za action au horror na siyo hizo drama au love story.
Una swali jingine mkuu wangu ??
Kinachotokea ni kwamba kila mtu anajiona anahaki, Mwanaume sifa yake haongei... hao mabebez zetu hicho ndo wanachokijua wamejariwa mdomo, huwez bishana nao bali vitendo tu, hasa hao wanaojihis Femanist kwa kuiga upuuzi. vitendo vitamuweka sawa wala usiendelee kubishana nayeMkuu tulia, the lion is stalking utaharibu "move".
Hiyo itakua kwa upande wako ila binafsi niliowashuhudia wote ni ama wamekwama au hawana uwezo kabisa yani wale jobless,yes wapo wanaume hawana kazi zama hizi. Mke kusaidia majukumu ni kama mume kusaidia kazi za ndani ambazo nikiri wanaume wengi huzifanyaNdiyo mke kumsaidia mume wala siyo shida. Shida ni je huyo mume ana tabia gani au je huyo mume naye anamsaidia mkewe majukumu yake mfano kazi za ndani.
Halafu siyo wanaume wote wanaosaidiwa na wake zao wanakuwa wamekwama
Kwanza nasikitika hujajibu maswali yangu, niliyo kuuliza.Labda huko nchi za uarabani ambazo ni non secular countries ambako wanatumia sheria za dini (hasa dini ya kiislam) kama sheria za nchi ndiyo mara nyingi kunakuwa na ukandamizaji wa wanawake
Lakini secular countries karibu zote hakuna sheria inayopendelea jinsia fulani na inayokandamiza jinsia fulani kwamba eti kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa hakuna
Ndiyo nimeolewa. Ninarange kati ya miaka 35-39.Sawa,
Swali ninalo ndy?
Umeolewa? na age range yako ni ipi?
Mmhh sasa wanaume wa huku JF wanaishi dunia gani. Maana according to wao ni kwamba hakuna mwanaume anayekubali kufanya kazi za ndani hata kama mke wake anamsaidia kiuchumi.Hiyo itakua kwa upande wako ila binafsi niliowashuhudia wote ni ama wamekwama au hawana uwezo kabisa yani wale jobless,yes wapo wanaume hawana kazi zama hizi. Mke kusaidia majukumu ni kama mume kusaidia kazi za ndani ambazo nikiri wanaume wengi huzifanya
Kwanza kabisa inatakiwa ufahamu kuwa si kila swali lazima lijibiwe moja kwa mojaKwanza nasikitika hujajibu maswali yangu, niliyo kuuliza.
Soma tena maswali yangu kisha uyajibu, miongoni mwa maswali niliyo kuuliza ni kuwa unaujuaje ukandamizaji yaani marejeo yako ni yapi ? Ngoja nikusaidie, mfano nikikuuliza unalijuaje kama hili ni gari ? Je utaanza kusema kule Japani au Wapi gari lina matairi matatu au la ?
Naona unalifanya tamko "kufanana" likawa sawa na "haki sawa" huku tunaita kulibaka neno na kubananga maana ya maneno hayo.
Tuendelee....
Ningekuwa nina issues na ndoa yangu ningekuwa nimeshaomba talaka siku nyingi sana. Ila kwa sababu bado nipo kwenye ndoa basi hizo issues umezitunga wewe.Hongera sana mkuu, na ahsante kwa ushirikiano wako! na hongera mingi sana kwa mwandani wako kwa kuoa wewe.
With no disrespect I bet you have some issues with ur marriage!
Ningekuwa nina issues na ndoa yangu ningekuwa nimeshaomba talaka siku nyingi sana. Ila kwa sababu bado nipo kwenye ndoa basi hizo issues umezitunga wewe.
Kutetea vilema siyo lazima na wewe uwe ni kilema. Wanaume wa JF muelewe hilo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanaume wengi hawajui uongozi katika familia unatakiwa uweje.Ahaa kumbe hiyo ndio tafsiri ya kiongozi?? Mimi kwa uelewa wangu mdogo kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa matendo mema ili wanaomfuata nyuma yake waige mwenendo mwema. Kumbe kiongozi maana yake ni mtu anayeruhusiwa kufanya makosa ambayo wanafamilia wengine ni mwiko....hii kwangu ni definition mpya. Ahsante kwa kutujuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaisikia now kwenye bomba.. Jiandae tuu kuzalishwa na kuwa dumpedMimi nilishasema sitakaa nifuate tamaduni za kiafrika nitafanya kile ninachotaka mimi tu. Ilimradi simdhuru mtu wala sivunji sheria za nchi basi hayo mengine kwangu ni upumbavu.
Aisee labda nimewanote vibaya ila kwangu mimi sio kusaidiwa tu majukumu na mwanamke yani mwanaume kufanya hizo kazi ni jambo la kawaida katika kudumisha mahusiano na napenda mno yani kwamba natamani hata leo ningekua na hiyo ndoa.... Ila ikumbukwe haya yote yawe ni kwa ajili ya mapenzi binafsi tu na katika kudumisha upendo lakini heshima yangu kwa mawanamke kama kichwa cha familia ibaki palepaleMmhh sasa wanaume wa huku JF wanaishi dunia gani. Maana according to wao ni kwamba hakuna mwanaume anayekubali kufanya kazi za ndani hata kama mke wake anamsaidia kiuchumi.
Hicho unachosema kinawezekana tu ikiwa hujaamua kuolewa au kuolewa na mwanaume asiye na uwezo ili nae afue na kupika na kusafisha watoto tofauti na hapo hakuna mwanaume anaamka kudekimwanamke kalala eti ni 50/50Naona wanaume dhaifu mnajifariji weakness zenu humu, kamwe hamuwezi shindana na wakati lazima uumie, Zama za kale zimepita Sasa ni new era ya kujali utu wa mtu yoyote regardless of gender. I'm happy wanawake wanaweza kufanya yao bila kuonewa na mifumo kandamizi ya mifumo dume.
Wanawake wenzangu tuchape kazi tujikwamua kiuchumi ili tusipate tabu.
The future is female indeed.
na ndio maana ya kulipia mahariInasikitisha wanaume wengi Wana inferiority complex Yani anaona raha kumfanya mwanamke wake atakalo, as if huyo ni mfugo wake wakati ni mtu mzima na akili timamu.
Kwanza mtu huwezi kuwa Bora kwa ku undermine wengine
Ni declare interest mapema,mimi sio mwanaume wa kuishi kwa kutegemea mwanamke kihisia hali kadharika huwa siko tayari kuwa mtumwa wa kumridhisha mwanamke,kwangu hiyo kitu haipo.Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama mimi nakwambia kabisa hunirizishi kwa hiyo kazi kwako kurudisha hisia penzi liendelee hama uniruhusu nigongwe na watu wengine coz siwezi kukusubiria wewe wakati starehe yako unaipata sehemu nyengine je mimi anipe nani hiyo starehe? otherwise uwe na matatizo ya kiafya nitaelewa lakini isiwe ile ya kuniona huyu nae wa nini mieee aahaa
wewe una mtizamo kama wangu ukihangaika na eti kutafuta kupendwa au kumridhisha mtu utapata tabu sana,binafsi naamini pesa itanipa furaha maana nikitaka mwanamke ni rahisi na sitaki mwanamke wa kufuga tuanze kuzinguana noo,nafurahi sana kuwa introvent maana naweza kuishi alone bila tataizo na vitu vya kunipa furaha ni zaidi ya mwanamke,napenda adventures sana,kimbembe wanacho wale wanaume ambao wanategemea furaha kutoka kwa mwanamke hao lazima waisome namba na waumie moyo kweli kweli na ndio hao wanaua na kujiua na kuvurugwa kabisa na mambo ya mahusianoYeah its true bro, but sio kila mtu ana muda wa kupoteza. Nadhani miongoni mwa vitu vinavyotupotezea mda na malengo vijana wa kileo ni the so called true love. Watu wamekuwa so fake bora uchunge pesa yako zaidi!
Kwa kuzingatia hilo ndiyo maana nikasema hujajibu swali, na mfano nimekupa.Kwanza kabisa inatakiwa ufahamu kuwa si kila swali lazima lijibiwe moja kwa moja
Pili kwangu mimi ukandamizaji ni ile hali ya mtu kutumia mamlaka yake au nguvu zake kumuonea mtu mwingine ambaye hana mamlaka kama yake au nguvu kama zake
You have nailed it,na huu ndio ukweli kabisa sasa hiyo 50/50 sijui wataipataje,wanawake wanachekesha kwa kweli..zaidi ya mdomo mwiingi na umbea sijui kitu gani kingine wanawake wanaweza..maisha yakimpiga au yakiwa mabaya kwenye familia huwa hawana uvumilivu hapo atatumia kiungo cha chini ajikimu kumbuka hawa maisha yao ni ligi na kujilinganisha ni tofauti na wanaume tunapiga moyo konde na kupambana ila wakiwa na tuhela ndio utawasikia na hizi nyimbo za 50/5050/50 namna gani hapa? Hawa hawa viumbe ambao kukiwa na mende ndani au panya achilia mbali nyoka hata kama kuna mtoto wa kiume wa miaka saba tu ndani ndiye watakayemtumainia au wengine?
Ndoa ni taasisi lazima iwe na utawala madhubuti,fahari wawili hawakuwahi kukaa zizi moja wakaiva....katika family level baba ni kichwa cha familia hili halitopingika ila ikumbukwe kuwa kiongozi haimaanishi unyanyasaji na ndio maana leo hii hata wanafunzi wanapokua darasani huchagua mamonitors na mamonitress au cr's kwa lengo la kuwaongoza wengine.... Mtakua na sheria,taratibu au sera zenu zinahitaji kusimamiwa na mwisho wa siku maamuzi ya wachache (viongozi) yatahitajika ilu kuliokoa jahazi.
Mwanamke kwa level ya familia bado atastahili kumtii mumewe kama kiongozi wake na mumewe kumpenda na kumtunza mkewe kama muongozwa wake,suala la fifty fifty hata asili ya maumbile inalikataa,ajitokeze mwanamke leo hii adai fifty fifty katika majukumu tuone mwisho wake,mke anastahili kupendwa,kutunzwa,kuheshimiwa lakini kamwe hili halimpi uhalali wa kuwa sawa au kuwa juu ya mume wake...kuna kuoa na kuolewa sio kuoana
Yeah this makes a lot of sense. Better uwe na Pesa itakuweka karibu na mambo yanayokupa furaha na ni satisfaction guarantee!wewe una mtizamo kama wangu ukihangaika na eti kutafuta kupendwa au kumridhisha mtu utapata tabu sana,binafsi naamini pesa itanipa furaha maana nikitaka mwanamke ni rahisi na sitaki mwanamke wa kufuga tuanze kuzinguana noo,nafurahi sana kuwa introvent maana naweza kuishi alone bila tataizo na vitu vya kunipa furaha ni zaidi ya mwanamke,napenda adventures sana,kimbembe wanacho wale wanaume ambao wanategemea furaha kutoka kwa mwanamke hao lazima waisome namba na waumie moyo kweli kweli na ndio hao wanaua na kujiua na kuvurugwa kabisa na mambo ya mahusiano