Viazi vitamu mkuuHuku kwetu ni mbatata kwenu mnaitaje
Hahaha. Eti kabungila. Imenikumbusha mbali.Bro wangu alikuwa anakula huku amesimama, maana akimaliza hapo anatoroka haendi shamba kiboko yake ilikuwa msosi wa jioni,atarudije? basi ni mwendo wa kula embe dodo au kwenda kuchoma kabungila mashambani
Wakati mwingine ilikuwa ni mchana na usiku kama dozi vile ilhali wengine huko mjini wanavitumia kama vitafunwa vya asubuhi pekee.
Hapo wanaume wa dalusalam wametoka kapa
Hiyo kitu tulikuwa tunaila na karanga na maji pembeni au maziwa mgando weee!
Saanaa. Ukipata na mlenda. Na mtindi. Menyu ya kutosha.View attachment 514354 Bila shaka unakumbuka hiyo menyu mkishamaliza hapo jembe begani...shamba moja!
Upate mtindi wa Asas. Huwiiiii.Mbatata