Mbatata
Akiwepo kitumbo mbele kati yenu ye huwa anachagua vikubwa tu, enzi zile tulikuwa tunamaliza ugomvi, kila mmoja anachukua kikubwa kimojakimoja, you go like haya okota, zamu yako wewe baada ya hapo vidogo ndo cha woteSafi sana, huo mlo ni noma full kujisevia
Bro wangu alikuwa anakula huku amesimama, maana akimaliza hapo anatoroka haendi shamba kiboko yake ilikuwa msosi wa jioni,atarudije? basi ni mwendo wa kula embe dodo au kwenda kuchoma kabungila mashambaniSafi sana, huo mlo ni noma full kujisevia
NomaaBro wangu alikuwa anakula huku amesimama, maana akimaliza hapo anatoroka haendi shamba kiboko yake ilikuwa msosi wa jioni,atarudije? basi ni mwendo wa kula embe dodo au kwenda kuchoma kabungila mashambani
Hahaa, vikubwa ndo mpangoAkiwepo kitumbo mbele kati yenu ye huwa anachagua vikubwa tu, enzi zile tulikuwa tunamaliza ugomvi, kila mmoja anachukua kikubwa kimojakimoja, you go like haya okota, zamu yako wewe baada ya hapo vidogo ndo cha wote
Huku kwetu ni mbatata kwenu mnaitajeDuh sio mbatata hiyo au labda kwenu ndio mnaitwa mbatata
Mkuu umenikumbusha miaka 31 iliyopita, mimi na mdogo wangu mmoja tuligonga "mbute kwa maziwa mgando" tukaingia shambani kupalilia pamba, sasa mdogo wetu mwingine naye akaigiza kutufuata sisi tuliopiga mbute. Muda kidogo akabwaga manyanga, maana njaa ilikuwa nusura imwue!!View attachment 514354 Bila shaka unakumbuka hiyo menyu mkishamaliza hapo jembe begani...shamba moja!