ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,279
- 5,989
Watoto wa mikate na boflo walikuwa wanakimbilia kwetu kula viazi. Wakiitwa kwao wanasema tusiseme. Maisha haya!Watoto wa wakulima oyeeeeeeee
Watoto wa mikate na boflo walikuwa wanakimbilia kwetu kula viazi. Wakiitwa kwao wanasema tusiseme. Maisha haya!Watoto wa wakulima oyeeeeeeee
Mbute mihogo iliyovundikwa.Mkuu umenikumbusha miaka 31 iliyopita, mimi na mdogo wangu mmoja tuligonga "mbute kwa maziwa mgando" tukaingia shambani kupalilia pamba, sasa mdogo wetu mwingine naye akaigiza kutufuata sisi tuliopiga mbute. Muda kidogo akabwaga manyanga, maana njaa ilikuwa nusura imwue!!
Sasa zipikwe na njugu pamoja. UwiiiiHiyo kitu tulikuwa tunaila na karanga na maji pembeni au maziwa mgando weee!
Wanatafuna mihogo mibichi na chumvi pilipili na ndimu.Hapo wanaume wa dalusalam wametoka kapa
Una lamba majivu. Ukimaliza kula hunawi mikono kuondoa kiungulia. Heart burn ndiyo mnaita gas.Ila shida gesi nyingi inavuja kama bomba la Songas
Mkuu hapo uwe ni uji afu bila sukari..! Hamna kuharibu sukari ipo natural kwenye kiazi lishe.[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 514354 Bila shaka unakumbuka hiyo menyu mkishamaliza hapo jembe begani...shamba moja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wakati mwingine ilikuwa ni mchana na usiku kama dozi vile ilhali wengine huko mjini wanavitumia kama vitafunwa vya asubuhi pekee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabungila ndiyo niniBro wangu alikuwa anakula huku amesimama, maana akimaliza hapo anatoroka haendi shamba kiboko yake ilikuwa msosi wa jioni,atarudije? basi ni mwendo wa kula embe dodo au kwenda kuchoma kabungila mashambani
Kabungila ndio kabunguja/Duyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabungila ndiyo nini
Mkuu umenikumbusha miaka 31 iliyopita, mimi na mdogo wangu mmoja tuligonga "mbute kwa maziwa mgando" tukaingia shambani kupalilia pamba, sasa mdogo wetu mwingine naye akaigiza kutufuata sisi tuliopiga mbute. Muda kidogo akabwaga manyanga, maana njaa ilikuwa nusura imwue!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabungila ndiyo nini
Kulikuwa viazi pia vinachomwa kwenye kikome!! Vitamu sanaHiyo menyu
ya Usukumani
Kule kwetu ukiongeza na karanga za kukaanga na tu chai twa maziwa ni msosi tosha unasubiria tu kurusha makombora ya S. Korea.Wakati mwingine ilikuwa ni mchana na usiku kama dozi vile ilhali wengine huko mjini wanavitumia kama vitafunwa vya asubuhi pekee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule kwetu ukiongeza na karanga za kukaanga na tu chai twa maziwa ni msosi tosha unasubiria tu kurusha makombora ya S. Korea.