Maalum kwa watoto wa wakulima tu!

Da...nakmbuka sana..lunch yangu ilikua ulanzi na ugali!! Na Siku sabasaba ndy nilikua naoga sababu tu ndy ilikua siku ya kula wali nyama!!! Enzi zile achaa tu!!!
 
dah siku zirudi nyuma...naona now dunia imebadilika hivyo vikombe hatuna tena na wala watu hawalimi viaz,tunavipata kwa shida sana hata sisi wa vijijini.
 
Bro wangu alikuwa anakula huku amesimama, maana akimaliza hapo anatoroka haendi shamba kiboko yake ilikuwa msosi wa jioni,atarudije? basi ni mwendo wa kula embe dodo au kwenda kuchoma kabungila mashambani
Hahaha. Eti kabungila. Imenikumbusha mbali.
 
Kwetu vinaitwa mbatata asubui vinapigwa na chai,mchana na maziwa mtindi jioni na maziwa fresh.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom