Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

mojawapo ya kero yangu kubwa ni huu muungano, why don't we just let them go, and I know they will come back begging for reunion just after few months.

Labda wapiganie uhuru wao tuwape, for now zanziba ni koloni la ytanganyika
 
Mkuu ubarikiwe sana kwa kuiweka vidio hii nimeisikiliza kwa makini maalim seif anatisha mi nilijua yupo ktk serikali haongei kumbe anamwaga vitu balaa kweli maalim anatafuta ukombozi wa wazanzibar uwe unatuwekea vidio zake mana ktk tv hawatoi
 
Huo ndio msimamo. Tanganyika irudi, Bila ya Tanganyika muungano ni kusumbuana. Na Ikirudi Tanganyika tutaishi kwa kuelewana.
 
Hamko serious; kama mngekuwa mnataka mamlaka kamili mngekuwa mnasema "Tunataka Tujitoe Kwenye Muungano"... Hamuwezi kuwa na Mamlaka Kamili kama kutakuwa na Muungano wa aina yoyote. So.. do the do!
 
Mamlaka kamili hayawezekani..mamlaka mnayo tena yanatosha sana..kwa sasa tunaitaka Tanganyika
 
Hamko serious; kama mngekuwa mnataka mamlaka kamili mngekuwa mnasema "Tunataka Tujitoe Kwenye Muungano"... Hamuwezi kuwa na Mamlaka Kamili kama kutakuwa na Muungano wa aina yoyote. So.. do the do!

muungano hauwezi kufa kwa hoja za kitoto unazozitoa huku jf, wewe mwanakijiji hauko tanzania, huna uchungu wowote na tanzania, mi nawashangaa sana watu wanaoyakubali mawazo yako, . muungano ni kwa ajili ya maslahi ya wote bara na visiwani, hatuwezi kuwa na serikali tatu haitakaa itokee tanzania hii..trust me ,serikali ni either moja au mbili tu
 
Muungano ulikuwa kwa karume na nyerere kama wote wameshatangulia kuna haja gani yakukumbatia muungano huku asilimia mia kubwa iki lalamika?
 
Hamko serious; kama mngekuwa mnataka mamlaka kamili mngekuwa mnasema "Tunataka Tujitoe Kwenye Muungano"... Hamuwezi kuwa na Mamlaka Kamili kama kutakuwa na Muungano wa aina yoyote. So.. do the do!

Ina maana nchi zote za EU, EA hazina mamlaka kamili ? Au muungano wa nchi za ulaya haitwi muungano ?
 
abakorakamoAkili gani hizi ZNZ Wawe na kila kitu!Tanganyika tuwe mazoba,warithi mpaka ardhi yetu!Wao Noo!Tumechokaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Hamko serious; kama mngekuwa mnataka mamlaka kamili mngekuwa mnasema "Tunataka Tujitoe Kwenye Muungano"... Hamuwezi kuwa na Mamlaka Kamili kama kutakuwa na Muungano wa aina yoyote. So.. do the do!

tunachokataa ni nyinyi kutuamulia na iwapo tunataka ambacho wewe unaona sio sahihi swawa unao uhuru wa kuona hivyo na hata nawe kusema kuwa iwapo mnataka hayo basi " Sisi Tanganyika hatutaki muungano". Kwanini utulazimishe sisi tutake kitu kwa maoni yako badala ya wewe kutowa uamuzi tu baada ya kuona kuwa sisi kutaka mamlaka kamili kuna maana kuwa bora muungano uvunjwe.

Unajuwa MzeeMwanakijiji hili la kufikiri kuwa hatupaswi kuwa na maoni yetu binafsi kwa jambo linalohusu pande mbili ndio kosa lenu kubwa. Iwapo mlikubali kufanya jambo na wapungufu basi inabidi mtafakari kwanini mliokamilika kukubali kuwa na muungano na wapungufu. Ukifika hapo basi hiyo 'so...do the do' inakuwa ni ya busara zaidi kwa upande wenu.
 
muungano hauwezi kufa kwa hoja za kitoto unazozitoa huku jf, wewe mwanakijiji hauko tanzania, huna uchungu wowote na tanzania, mi nawashangaa sana watu wanaoyakubali mawazo yako, . muungano ni kwa ajili ya maslahi ya wote bara na visiwani, hatuwezi kuwa na serikali tatu haitakaa itokee tanzania hii..trust me ,serikali ni either moja au mbili tu

Mzeemwanakijiji ana haki sawa kama wewe unaetaka serikali moja au mbili au mie ninaetaka 3. Ni ufinyu wa mawazo kusema kuwa muungano uwe kwa manufaa ya wote wakati amabao kwa miaka 50 sasa haujaleta hayo manufaa unayoyahubiri.

Binaadamu sio kama jongoo kulazimisha kupita hapo hapo na akishindwa kubaki kujikunja tu. Binaadamu hujaribu kufunguwa njia nyengine za kumfanya atoke kwenda anakotaka na ndio maana kuwa umefika wakati wa kutumia mfumo mwengine wa muungano na hata tukibaini kuwa muungano huu utakuwa kifungo tu basi wazo la Mzeemwanakijiji nalo linaweza kuchukua nafasi.
 
Mi naona waznz kutoka kwenye muungano ni simple munaserikali muna wawakilishi muna bendera rais ni kuwashinikiza wawakilishi wenu kupitisha azimio la kutokuuta muungano na Rais wenu kutangaza kwamba znz imejitoa kwenye muungano uone kama CCM itaendelea na msimamo wake.
 
muungano hauwezi kufa kwa hoja za kitoto unazozitoa huku jf, wewe mwanakijiji hauko tanzania, huna uchungu wowote na tanzania, mi nawashangaa sana watu wanaoyakubali mawazo yako, . muungano ni kwa ajili ya maslahi ya wote bara na visiwani, hatuwezi kuwa na serikali tatu haitakaa itokee tanzania hii..trust me ,serikali ni either moja au mbili tu

Unataka awe na uchungu kwani yeye mjamzito? Vitu vikiungana inakuwa kimoja otherwise vitengane kila kimoja kivyake msituletee habari za serikali 3 wala 2 hapa..!! Kama mliweza kuunganisha ASP na TANU ikawa CCM kwanini mshindwe kuunganisha ZANZIBAR na TANGANYIKA ikawa TANZANIA!!!!??
 
Mnataka mamlaka kamili huku Maalim anaonekana akigawa pikipiki Tz bara, bado mnaichagua ccm - unafiki mwingine bwana!
 
Back
Top Bottom