Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Nafikiri matumizi ya neno "wanalia" ndo inaweza kuwa shida. Hata hivyo point ya msingi ni kuwa CCM wamepigwa chenga inayowauma sana; na kuna wana CCm makini wanakiri kuumizwa na chenga hizo ambazo hawakuzitarajia, kama vile wamesahau mchezo wa siasa ulivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…