Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206
Ni maajabu makubwa, Seif Sharif Hamad kashindwa kesi yake na akaona isiwe taabu kawaachia chama. Katika uuamuzi huo akaingia ACT-Wazalendo na kauli mbiu "Anua tanga, pandisha tanga - Safari iendelee" na wafuasi kibao wa CUF wemeikimbia CUF na kumfata ACT.

La ajabu ni kuwa kwa kuamua hivyo maumivu yamewapata zaidi CCM kwani ndio wenye kiwewe sasa na kilio. Kwanini?

Au walitegemea Maalim kuendeleza maisha ya mgogoro na kesi ili wao waendelee ku-relax?
 
Nafikiri "wa ukweli" hakuna anayelia, maana wa ukweli wote wemejiweka pembeni na CCM hii ya sasa.
CCM hii ya mzee baba na Msomi wetu Bashiru na mdogo wangu Hamphrey? Ni ccm documents tuu na sio ccm ideology

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau MNA terminologies hatare
Sasa sio kindakindaki verses maslai
Wala sio masalia tena ni documents Vs Ideology.
Wacha waisome Namba wameipenda wenyewe
 
Huyu ni Maalim Seif na mkewe akisherekea baada ya Chama cha CUF kupata usajili w.jpg
 
kumbuka CHADEMA uwa mara nyingine mnaandika CDM hivyo naweza kusema pengine utakuwa umekosea kuandika CCM na ulitaka kuandika CDM. ni nani anayeteseka kati ya CDM na CCM? huo ndio unaitwa utamu wa seif, unawaacha CDM mdomo wazi kwa hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom