Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

Ni maajabu makubwa, Seif Sharif Hamad kashindwa kesi yake na akaona isiwe taabu kawaachia chama. Katika uuamuzi huo akaingia ACT-Wazalendo na kauli mbiu "Anua tanga, pandisha tanga - Safari iendelee" na wafuasi kibao wa CUF wemeikimbia CUF na kumfata ACT.

La ajabu ni kuwa kwa kuamua hivyo maumivu yamewapata zaidi CCM kwani ndio wenye kiwewe sasa na kilio. Kwanini?

Au walitegemea Maalim kuendeleza maisha ya mgogoro na kesi ili wao waendelee ku-relax?
SI kila kilio ni huzuni kamanda. Kuna vingine ni vilio vya FURAHA!
Seif ni "ASSET" kubwa sana kwa CCM.
Ndo maana hakamatwi, hafungwifungwi kama akina fulani, na hasumbuliwi kwa chochote! anakula pensheni yake swaaaafi anayolipwa na serikali ya CCM.
CCM haina cha kumhofia Seif kwa sababu Seif ana uzoefu mkubwa sana wa kuibiwa kura bila madhara.
Sijui kama umenielewa? maana makamanda wa enzi hizi wagumu saaaana kuelewa.
 
naona umemwaga kuku kwenye mchele mwingi....... yani asiyeelewa hilo ni shingo ngumu..
Mpinzani anayehudumiwa na ikulu kwakuwa alikuwa makamu wa Raisi mstaafu anaogopwaje?
 
SI kila kilio ni huzuni kamanda. Kuna vingine ni vilio vya FURAHA!
Seif ni "ASSET" kubwa sana kwa CCM.
Ndo maana hakamatwi, hafungwifungwi kama akina fulani, na hasumbuliwi kwa chochote! anakula pensheni yake swaaaafi anayolipwa na serikali ya CCM.
CCM haina cha kumhofia Seif kwa sababu Seif ana uzoefu mkubwa sana wa kuibiwa kura bila madhara.
Sijui kama umenielewa? maana makamanda wa enzi hizi wagumu saaaana kuelewa.
Hujui usemalo ndio maana Seif humfahumu ni mtu wa aina gani.
Hujui kuwa hata Seif kakaa gerezani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom