Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
Seif kawapiga chenga hatari sana. Kawafundisha upya siasa....
ikiingia unatukanaWewe fala kama unakumbukumbu nzuri, kwenye moja ya press ya Zitto alisema ni vema vyama vya upinzani wa kweli waunganishe nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Gweregwere aka mamurereMkuu Paskali CCM kuna MAFIKIZOLO(MAKONKI),INZILE(CCM MPYA) NA GWEREGWERE(WAUNGA MKONO JUHUDI).
Huyo hataelewa hata ukiingia kichwani mwake.Immediately Mbowe amempongeza Seif Kwa kuiacha CUF Lipumba na kijiunga ACT, sasa nini huelewi mzee? au wewe ni zwazwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Marinda yote hakuna. Unahitaji pampaz wewe.yo mama knows better
Kwanini mara ya kwanza Jiwe alimtukana sasa Lowasa ila kwa sasa kampokea kwa mikono miwili?ikiingia unatukana
Kwanini mara ya kwanza Zitto hakujiunga Ukawa?
Nafikiri matumizi ya neno "wanalia" ndo inaweza kuwa shida. Hata hivyo point ya msingi ni kuwa CCM wamepigwa chenga inayowauma sana; na kuna wana CCm makini wanakiri kuumizwa na chenga hizo ambazo hawakuzitarajia, kama vile wamesahau mchezo wa siasa ulivyo.Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
yo mama knows me betterMarinda yote hakuna. Unahitaji pampaz wewe.
hajamfukuza chama thouKwanini mara ya kwanza Jiwe alimtukana sasa Lowasa ila kwa sasa kampokea kwa mikono miwili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna marinda wewe.yo mama knows me better
mitoto ya kambo heshima sio lazimaHuna marinda wewe.
Huna marinda wewe.mitoto ya kambo heshima sio lazima
hiki kibinti kina mtukana babake wa kambo...Huna marinda wewe.
Huna marinda wewehiki kibinti kina mtukana babake wa kambo...
unajitangazia upate bwana humu...Huna marinda wewe
Kwa kweli mkuuNafikiri "wa ukweli" hakuna anayelia, maana wa ukweli wote wemejiweka pembeni na CCM hii ya sasa.
CCM hii ya mzee baba na Msomi wetu Bashiru na mdogo wangu Hamphrey? Ni ccm documents tuu na sio ccm ideology
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaha .. kwa mara ya kwanza nimeielewa vyema ile definition ya msamiati unaosema ukumpiga teke chura ...........walidhani atakata rufaa then wampige danadana mpaka uchaguzi huooo ila MAALIM akawastukia akasepa chapu wakabaki wamepigwa butwaa!
Huna marinda weweunajitangazia upate bwana humu...
mwanaume kamili hawezi kuongelea marinda
Huna marinda weweHuna marinda wewe