Immediately Mbowe amempongeza Seif Kwa kuiacha CUF Lipumba na kijiunga ACT, sasa nini huelewi mzee? au wewe ni zwazwa?kumbuka CHADEMA uwa mara nyingine mnaandika CDM hivyo naweza kusema pengine utakuwa umekosea kuandika CCM na ulitaka kuandika CDM. ni nani anayeteseka kati ya CDM na CCM? huo ndio unaitwa utamu wa seif, unawaacha CDM mdomo wazi kwa hamu
Hivi Dr Bashiru na Kinana ukiulizwa nani ccm jibu litakuaje?Kwani kuna CCM wa kweli na Wauongo?
Swali lako kichefuchefu, ingia mitandaoni ujionee, labda kama huwajui watetezi na wafia ccmMkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
member wa ukawa ajitoe kwenye ukawa ccm ilie? Kwa Zitto hakuna ukawaNi maajabu makubwa, Seif Sharif Hamad kaahindwa kesi yake na akaona isiwe taabu kawaachia chama. Katika uuamuzi huo akaingia ACT Wazalendo na kauli mbiu "anua tanga,pandisha tanga safari iendelee" na wafuasi kibao wa CUF wemeimbia CUF na kumfata ACT.
La ajabu ni kuwa Kwa kuuamua hivyo maumivu yamewapata zaidi CCM Kwani ndio wenye kiwewe sasa na kilio Kwa nini?
Au walitegemea Maalim kuendeleza maisha ya mgogoro na kesi ili wao waendelee kurelax?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa taharifa yako...member wa ukawa ajitoe kwenye ukawa ccm ilie? Kwa Zitto hakuna ukawa
CUF Zanzibar imepasuka mara 2 .... CCM walie?
Mgombea pendwa wa uraisi wa ZNZ kaenda chama chenye mizizi Bara na kuipa CCM aueni ZNZ na bado.... CCM walie?
You must be dreaming ama unaji romance bafuni
Zitto ana hasira na Mbowe na chadema yenu....pigo kwa UKAWA.... sasa anzeni kumbusu Zitto ili ajiunge na UKAWASasa kwa taharifa yako...
Kwa maneno haya ni wazi ccm mnalia...
Na Ukweli ccm mlijua seif angeendelea kudai haki yake mahakamani na hapo kupitia mahakamaCCM mungeendelea na danadana mpaka uchaguzi na hapo kushinda kiulaini,
ila hiki kitendo hiki cha kuhama na hasa kushuhudia chama chenu B aka CUF ikiamwa na wafuasi wake kwa speed ya kimbunga na ofisi za wenzenu kufungwa mmechanganyikiwa.
Ivyo wewe lazima ndo utakuwa unaji-Masturbate bafuni
Sent using Jamii Forums mobile app
"To every action there is equal and opposite reaction"Mkuu Chakaza, nauliza tuu, hivi kuna mwana CCM wa ukweli analia?.
P
Kulikuwa na jitihada za kuuzima moto kwa petrol. Maana akishinda safari hii zito atawapelekesha sanaWadau MNA terminologies hatare
Sasa sio kindakindaki verses maslai
Wala sio masalia tena ni documents Vs Ideology.
Wacha waisome Namba wameipenda wenyewe
Aisee una akili wewe.walidhani atakata rufaa then wampige danadana mpaka uchaguzi huooo ila MAALIM akawastukia akasepa chapu wakabaki wamepigwa butwaa!
Mkuu Kasharo, japo swali linaonekana kichefuchefu, lakini ukweli unabaki kuwa ukweli daima, hakuna mwana CCM wa ukweli atakayepiga kelele. CCM wa ukweli ni Simba mwenda kimya, wao kazi yao ni kumsubiria muda ufike wafanye mambo.Swali lako kichefuchefu, ingia mitandaoni ujionee, labda kama huwajui watetezi na wafia ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hawa wote ni wapinzani lao ni moja.kumbuka CHADEMA uwa mara nyingine mnaandika CDM hivyo naweza kusema pengine utakuwa umekosea kuandika CCM na ulitaka kuandika CDM. ni nani anayeteseka kati ya CDM na CCM? huo ndio unaitwa utamu wa seif, unawaacha CDM mdomo wazi kwa hamu
Wee kweli ni fool!Zitto ana hasira na Mbowe na chadema yenu....pigo kwa UKAWA.... sasa anzeni kumbusu Zitto ili ajiunge na UKAWA
Kukusaidia Maalim ni CCM kama alivyo Lowassa....
Unaikumbuka Ndoa yake na Mkapa? Ama ulikuwa chekechea? Kwanini huwa hapingi matokeo ZNZ kwa nguvu zote?
Ijue nchi na siasa zake dogo...
kumbe ukiguswa kwenye spot huwa unatukana?😛
Mimi binafsi siioni ccm kama chama cha siasa, hiki sasa hivi ni chama cha mauaji na utekajiUkiangalia hivi kweli sasa hivi ile CCM kama chama cha siasa IPO kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haipo. Kilichopo ni kikundi cha wahalifu ambao wako tayari kuteka, kuuua, kutesa, kutumia propaganda, uongo na uzushi ili kubaki madarakani. Kama Kuna wahalifu halisi wanaostahili kuwa magerezani Sasa hivi ni huko cCcm ndiko wanapatikana.Ukiangalia hivi kweli sasa hivi ile CCM kama chama cha siasa IPO kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hoja zako ni za kufikirika? Baki hivyo hivyo na fikra zakoZitto ana hasira na Mbowe na chadema yenu....pigo kwa UKAWA.... sasa anzeni kumbusu Zitto ili ajiunge na UKAWA
Kukusaidia Maalim ni CCM kama alivyo Lowassa....
Unaikumbuka Ndoa yake na Mkapa? Ama ulikuwa chekechea? Kwanini huwa hapingi matokeo ZNZ kwa nguvu zote?
Ijue nchi na siasa zake dogo...