Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

Najua wapo watakaonibeza lakini kwa mtu makini anayefatilia vizuli siasa za tanzania ukiangalia historia ya mwana siasa zitto kabwe tangu akiwa chadema alivyojiunga ACT ukifatilia kwa makini kauli zake, matendo yake na mwenenendo wake utagundua huyu mtu sio wa kumuamini

upande wa pili wa maalim seif ukifatilia historia yake tangu mwaka 95 hadi leo kwa wale wanaofatilia historia ya seif vizuli utagundua hata pia seif sio mtu wa kumuamini

mimi upande wangu nasema seif na zitto sio watu wa kuwa aminiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unawaamini mazezeta na wewe siyo mtu wa kuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
member wa ukawa ajitoe kwenye ukawa ccm ilie? Kwa Zitto hakuna ukawa
CUF Zanzibar imepasuka mara 2 .... CCM walie?
Mgombea pendwa wa uraisi wa ZNZ kaenda chama chenye mizizi Bara na kuipa CCM aueni ZNZ na bado.... CCM walie?
You must be dreaming ama unaji romance bafuni
Mmojawapo wewe! Naona na id yako imekaa ki praise and worship

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema Bado Wanamuamini Mbowe Aliehongwa Na Lowasa Akampa Ugombea Urais Na Kumfukuza Dr. Slaa ,
 
Back
Top Bottom