Maalim Seif: CHADEMA waroho wa madaraka


Vile vile kapotoka Cuf haijawahi kufuzu kua kambi rasmi ya upinzani , % ya wabunge na kura za urais walizopata zilikua ndogo hivyo basi kikanuni ziliwalazimu waunde kambi kwa kushirikiana na vyama vingine .tofauti na hali ilivyo sasa kwa chadema
 
Chadema hakina demokrasia na ni chama chenye ubinafsi mkubwa sana.
 
Hivi Seif aliapa kwa kiapi gani? Huo ujinga akaongee na watu wake wa Wete, yaani amekuwepo A Town kwa kodi za watanzania bado analeta ujinga? Kma wewe ndie wanfidhi wake tupe na yaliymkuta leo Soweto. Shame on you wake wa ccm maleberali.
 
Hivi Seif aliapa kwa kiapi gani? Huo ujinga akaongee na watu wake wa Wete, yaani amekuwepo A Town kwa kodi za watanzania bado analeta ujinga? Kma wewe ndie wanfidhi wake tupe na yalimkuta leo Soweto. Shame on you maleberali.
 
Mume na mke wanafivhoana siri. Seif uko Arusha mji wa werevu hukko Chokovho. Vhunga mdomo wako
 
Bila kumung'unya maneno....uroho wa madaraka ndiyo sifa ya kwanza ya mwanasiasa....wanasiasa wanafanikiwa wote huwa waroho wa madaraka....
 
Duh..Kumbe Slaa Mroho hivi...

CUF ikiongoza Kambi ya upinzani Yeye pia anataka...
CHADEMA ikiongoza Kambi ya upinzani ..CUF hawaruhusiwi.....

Yani SLaa alishirikiana na WALIBERALI ..hii kali...
 
Huyu Mpembna naye kiswahili kinampa shida?

Utakuwaje mroho wa madaraka kama hujawahi kuwa na hayo madaraka?Maana tafsiri ya uroho ni kutaka zaidi.Sasa chadema wana madaraka gani zaidi ya kwamba ni chama kikuu cha upinzani?
 
Acha uzushi na uongo hapa.
Self Sharif Hamad ndio mwanasiasa mroho wa madaraka kuliko mwanasiasa yoyote hapa Tanzania kwa sasa, kwa sababu:

1/Alitaka urais wa Zanzibar toka akiwa CCM miaka ya 1970s(baada ya kumzunguka Abdul Jumbe kisanii), kisha toka uchaguzi wa vyama vingi umeanzishwa ni yeye tu amekuwa akigombea urais wa Zanzibar, ilikuwa 1995, 2000, 2005, 2010 na tayari ameshapitishwa kugombea urais na CUF 2015 huko Zanzibar. Hivi ni yeye tu ndani ya CUF mwenye sifa na nia ya kugombea urais wa Zanzibar?

2/Amekuwa katibu mkuu wa CUF zaidi ya miaka 20, hakuna mtu wa kumtoa na Hamad Rashid alipopanga kumtoa katika uchaguzi wa ndani wa CUF alifukuzwa kama mbwa na kuvuliwa mpaka uanachama. Hivi Self Sharif Hamad ni Nabii ndani ya CUF mpaka asipingwe?
 
Reactions: mij
Great thinkers naona mmetoa mawazo yenu, dah et nyie ndiyo mnategemewa hv na hicho chama chenu kikishika nchi hamtaweza kukikosoa. Ndiyo sbb watz hawataki bora hawa kijani wanaokubali kukosolewa.
 
Mti mzuri wa mwembe wenye matunda ndio hupigwa mawe! Sasa ona Magamba hawawezi kuhutubia wananchi bila kusema cdm, vilevile waliberali hawawezi kuongea bila kuitaja cdm.....hivi tunajifunza nini hapo? Ni kwamba cdm ndicho chama sahihi kupendwa na wananchi
 

Where u at Mr Hamad Rashid...someone is tarnishing our image here...

Kuna mroho na mbinafsi zaidi ya mtu aliuza kura zake CCM for his own gains?


Na aliyethibitisha yote hayo ni almaarufu Zitto Kabwe...aliandika kuwa Maalim alishinda

Mzee wa sumu kajiweke sawa
 

in Tanzania, Seif is rated as number one kwa kupenda madaraka and the second runner kwa divinisionist politics after his excellency!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…