Maalim Seif: CHADEMA waroho wa madaraka

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
2,765
2,000
tafsiri ya mwalimu kukua ya mwalimu imekuja kueleweka kadiri miaka inaposonga mbele...

kukua kwa mwalimu haina maana ya kuota mvi, kuota madevu au kuweza kumtia mwananke mimba.....

sijawahi kuona mtu asiyeheshimu wenzake kama maalim seif.....hata hivyo sijawahi kuona mtu mwenye kuheshimu watu kama dr ali mohammed shein.....

vitu ambavyo seif anamtendea bosi wake..ni mungu anajua....and sio surprise...seif atacontest tena kwenye uraisi 2015...
 

mecy

JF-Expert Member
Jul 16, 2012
422
0
hv kati ya cuf na chadema nani ni waroho wa madaraka?mana kitendo cha kukubali kuwa makamu ili hali ni chama cha upinzani na kukubali kupewa madaraka mkiwa chni ya ccm.
 

sad

JF-Expert Member
Aug 26, 2012
294
0
seif inajipalia matatizo tu, chama chako kimeshindwa kujipambanua kama ni chama cha upinzani, kazi yake na rafiki zake c.c.m ni kupambana na chadema. hilo lipo wazi. cuf ni chama ambacho hakijelewi kwani kinajimaliza chenyewe. seif amewasliti yopo kwenye ndoa na c.c.m anakula na anagombea tena. cuf hakuna wasomi wengine? chama gani cha ajabu namna hii. itikadi za lipumba zinaeleweka na seif ni uamsho. ubinasfi unawasumbua cuf. chama chenu kimepoteza mvuto, vyama vya upinzani ni chadema na NCCR-MAGEUZI. cuf mlie tu.we angalia sehemu wanazipiga kampeni na kupata uungwaji mkono utapata jibu.

heri nibaki kutokuwa na chama kuliko kuunga mkono cuf. mimi naangalia chama kinachotetea wananchi. na hakiwezi kuwa cuf hata siku moja.

cuf iliunda kambi ya upinzani wakati ule kwasasabu ili kuwa na vita kali na c.c.m. sasa ilitaka kuungwa mkono. hata hivyo cuf haikupata wabunge wengi kama chadema kwa sasa. cuf inatumiwa na c.c.m na haitafanikiwa kamwe labda ijipambunue kama ni wapinzani au c.c.m B. mbona NCCFR -MAGEUZI imejipambanua inaungwa mkono na watu kwa sasa?

ila seif na lupumba watakiua chama kwani ni waroho wa madaraka kuliko mtu yeyeyote humu. kuhusu kabwe kuomba ajitoa ni suala la kawaida kwani hata malecela aliwahi ombwa ajitoa na alifanya hivyo kuondoa mikwaruzano ya wagombea.
 
Top Bottom