Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
Kweli Nyani haioni ....le. Maalim Saif anaweza kumsema mtu au chama chochote kuwa kina uroho wa madaraka! Yeye tangu mfumo wa Vyama vingi ndo anagombea Urais wa Zanzibar na anashindwa lakini hawezi kumwachia mtu mwingine. Tangu CUF imeanzishwa yeye ni Katibu Mkuu mpaka leo. Amefunga ndoa na CCM na kuua chama kisa ni kupenda madaraka. Leo hii anasema CHADEMA ni waroho wa madaraka? Anahitaji maombi aweze kujitambua.
Vile vile kapotoka Cuf haijawahi kufuzu kua kambi rasmi ya upinzani , % ya wabunge na kura za urais walizopata zilikua ndogo hivyo basi kikanuni ziliwalazimu waunde kambi kwa kushirikiana na vyama vingine .tofauti na hali ilivyo sasa kwa chadema