Haya nyanyuka kakojoe halafu ulale kifudifudi!Niko kitandani muda huu...nimekumbusha tu
Kisu kimegonga mfupa umeanza kurusha miguu.Zanzibar inataka maendeleo kwa sasa siasa baadae
Walimchagua alafu wezi mkafuta uchaguzi.uraisi haupatikan V.O.A!! uraisi washawishi wazanzibar wakuchague, whaaaaaat a loser
Alichaguliwa lini? Mbona amekimbia marudio kama alikuwa na uhakika ameshinda?Walimchagua alafu wezi mkafuta uchaguzi.
Jabali la siasa za africa linalotikisa America .
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze kudanganya wazazi wako .Daaah, Maalim ni mweupeeeeeeeeeeee kwenye Kiingereza. Bulldoza ana nafuu mara mia saba sabini!
Kwa hiyo america imetikisika? Mbona analilia uchaguzi urudiwe wakati alijidai kususa?Jabali la siasa za africa linalotikisa America .
Sasa kingereza hakipandi unategemea umuoneye? Hiyo interview is only for intellectuals.Namuona, hana jipya.
Hakuwa tayari kushirikiana na madhalimuAlichaguliwa lini? Mbona amekimbia marudio kama alikuwa na uhakika ameshinda?
Patheticuraisi haupatikan V.O.A!! uraisi washawishi wazanzibar wakuchague, whaaaaaat a loser
Hebu Weka Viroba Pembeni Kwanza, Wazanzibar si Wakushawishiwa mana tayari walishamchagua tarehe w5 October 2015 kwa zaidi ya asilimia 75%+ lakini Wenye Dola Hawakutaka Kumkabidhi bali Walijaza Vifaru (Tanks) mitaani ili kuwazima Wazanzibar wasipate haki yao.uraisi haupatikan V.O.A!! uraisi washawishi wazanzibar wakuchague, whaaaaaat a loser
Una maana gani?Hakuwa tayari kushirikiana na madhalimu