Maalim ndani ya studio za VoA muda huu via star tv

Maalim ndani ya studio za VoA muda huu via star tv

image.jpeg
image.jpeg
Simba wa Siasa za Zanzibar
 
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze kudanganya wazazi wako .
Hivi hujamsikia alivyokuwa anajiuma uma, mpaka nikamuonea huruma kwa kuacha kuangalia interview yake... Yani kwa Kiingereza kile kama unamkubali, basi nawe utakuwa shalo mbaya! 😀😀😀😀
 
Hebu Weka Viroba Pembeni Kwanza, Wazanzibar si Wakushawishiwa mana tayari walishamchagua tarehe w5 October 2015 kwa zaidi ya asilimia 75%+ lakini Wenye Dola Hawakutaka Kumkabidhi bali Walijaza Vifaru (Tanks) mitaani ili kuwazima Wazanzibar wasipate haki yao.
nakunukuu..."kwa zaidi ya asilimia 75%.." mwisho wa kukunukuu, hapa inaonyesha wazi upeo wako wa kiakili upoje
 
Kwa hiyo america imetikisika? Mbona analilia uchaguzi urudiwe wakati alijidai kususa?
Ule ulikuwa uchaguzi au lilikuwa kongamano la ccm ? Walojitokeza kupiga kura walikuwa 58,750 lakini mshindi kapata 299000 ! Mtamdanganya nani ? Kama hiyo haitoshi Mwangalizi wa uchaguzi Ali Karume kateuliwa waziri , vituko !
 
Hivi hujamsikia alivyokuwa anajiuma uma, mpaka nikamuonea huruma kwa kuacha kuangalia interview yake... Yani kwa Kiingereza kile kama unamkubali, basi nawe utakuwa shalo mbaya! 😀😀😀😀
Bado dakika 20 tu kufika saa 6 usiku Vitecno vyenu vya kuhongwa na January Makamba vizime tupunguze pumba hapa jukwaani, leo ni siku mbaya sana kwenu wajingawajinga wote.
 
kuna jamaa katoa thread eti maalim seif hajui kizungu ni kweli mliosikiliza?
 
kuna jamaa katoa thread eti maalim seif hajui kizungu ni kweli mliosikiliza?
Hebu search YouTube VOA maalim seif interview halafu utapata jibu lako hukohuko.

Watu kama wewe ni mzigo tu maana hamtaki kushughulisha akili zenu japo kidogo.
 
Hivi hujamsikia alivyokuwa anajiuma uma, mpaka nikamuonea huruma kwa kuacha kuangalia interview yake... Yani kwa Kiingereza kile kama unamkubali, basi nawe utakuwa shalo mbaya! 😀😀😀😀
Mkuu tujuzan, hivi huyu jamaa na yule wa white house yupi bora kwa eng.
 
Mkuu tujuzan, hivi huyu jamaa na yule wa white house yupi bora kwa eng.
Jamani, hebu tuache ushabiki, huwezi kumlinganisha mtaalam mwenye PHD katika mambo ya masomo ya Science na mwenye Elimu ya sharia.
 
Back
Top Bottom