Kakashi uchiha
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 604
- 415
AYAAA Anamwaga Kuku Kwenye Mchele Mwingi
Maalim anasema kizazi kipya kinataka mabadiriko, kama watawala wataendelea kuyakataa kidemokrasia, basi vijana watatafuta njia mbadala kupata wanachotaka na nchi itaingia katika machafuko makubwa na yeye hapendi hilo litokee.Tupe updates
Unajifanya huujui ukweli?uraisi haupatikan V.O.A!! uraisi washawishi wazanzibar wakuchague, whaaaaaat a loser
MamamaeeeeeNamsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Kiukweli nilikuwa najua Maalim Seif ana akili , lakini sikujua kama ana akili nyingi kiasi hiki ! Viva Maalim .Mtazameni muda huu kupitia star TV anahojiwa na Shaka Ssali ....
Possibly nitatoa updates
Ha ha ha yo comments are very provocative..ngoja waje wakushughulikie!Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Umetumia Effort Kubwa Kutuambia Kuwa Unamiliki Altezza Na Sisi 2nakupongeza.,,,,,ingawa Hakukuwa Na Ulazima Sana Wa Sisi Kujua,,,,#nionavyomimiNamsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Maalim amesema Jecha ni mwanachama wa ccm na alishagombea uwakilishi kupitia ccm akapigwa chini kwenye kura za maoni na maccm wenzake.Unajifanya huujui ukweli?
Maalim Seif alichaguliwa na wazanzibari October 25 mwaka jana, lakini Jecha 'aliyapindua' matokeo hayo kwa maagizo ya wahafidhina ndani ya CCM.
Unawezaje kupata maendeleo bila siasa safi???Zanzibar inataka maendeleo kwa sasa siasa baadae
Unazidi kujianika tu , iko siku utajulikana tu.Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
hzo zinaitwa hadithi za kusadikika!! endelea kuotaUnajifanya huujui ukweli?
Maalim Seif alichaguliwa na wazanzibari October 25 mwaka jana, lakini Jecha 'aliyapindua' matokeo hayo kwa maagizo ya wahafidhina ndani ya CCM.
Hayo maendeleo hayajaja miaka 50 tuyasubiri leo kwa hao hao waliotuhaidi miaka 50!Zanzibar inataka maendeleo kwa sasa siasa baadae
Namuona, hana jipya.Mtazameni muda huu kupitia star TV anahojiwa na Shaka Ssali ....
Possibly nitatoa updates