Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,208
Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Utampelekea chai?au utamlipia wakili?..hahahaHahaha mkuu we funguka tu
Tumeshadhibitiwa, kama hujipendi simama kwenye kweli hatua ya kwanza unalambwa ban, halafu unasongeshwa kwa kamanda Sirro.Hahaha mkuu we funguka tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Jane bwana ngoja nipite hivi nisije nikamkwaza na Alteza yake sijui leo imepata wese!!!Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Najuwa tatizo lako ni lugha, nyinyi subirini mahojiano yenu ni yale ya clouds tv kwenye lugha ya kishambenga muoneshe umahiri wenu kupepeta mdomo au dakika 45 za kuwadanganya Wadanganyika ITV, zile ndio interview zenu VOA ni level nyingine.uraisi haupatikan V.O.A!! uraisi washawishi wazanzibar wakuchague, whaaaaaat a loser
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Jane bwana ngoja nipite hivi nisije nikamkwaza na Alteza yake sijui leo imepata wese!!!
Mmmm wewe muhaya nini maana alitezza yako inataka kuwa gumzo humu JF. Dis is a second post i see u talk about ur altezza.Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
Wewe Maimuna kasikilize mirindimo ya pwani na Dida wa Mchopange, VOA si size yako.Zanzibar inataka maendeleo kwa sasa siasa baadae
Sifa Za Kijinga!Namsikiliza hapa kwenye Altezza yangu kupitia Kiss FM. Ana Kiingereza kibovu ila anaeleweka.
haya basi tufanye hivi, maalim seif akishatoka hapo interview ya V.O.A atakuwa raisi wa Zanzibar!!Najuwa tatizo lako ni lugha, nyinyi subirini mahojiano yenu ni yale ya clouds tv kwenye lugha ya kishambenga muoneshe umahiri wenu kupepeta mdomo au dakika 45 za kuwadanganya Wadanganyika ITV, zile ndio interview zenu VOA ni level nyingine.