Maalim Seif anaunguruma studio na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight talk Africa, tumsikilize mwanamume huyu!
Local channel tune Star tv.
Hahaha mkuu we funguka tuNaogopa kusema ukweli kuna mtu interview kama hii angekimbia nisije kupigwa ban au kukabidhiwa kwa Mzee Sirro.
JF hakuna uhuru tena, wacha nikajadiliane kwenye magroup ya wasapu kule tupo huru
Napita tu ujumbe umefika umetisha sna mzee maalim seif anajua anataka nini itachukua muda kumuelewa kwa mtu mwenye uelewa mdogoNaogopa kusema ukweli kuna mtu interview kama hii angekimbia nisije kupigwa ban au kukabidhiwa kwa Mzee Sirro.
JF hakuna uhuru tena, wacha nikajadiliane kwenye magroup ya wasapu kule tupo huru
Niko kitandani muda huu...nimekumbusha tuSawa jingalao huko lumumbani..tumekusikia,tunakuomba ukakojoe ulale!