Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Bila shaka hali zenu ni njema wakati tunaianza weekend
Nije kwenye mada
Wakati leo niko maeneo fulani jijini Dar es salaam kuna gari limepita likitangaza kwa wafanyabiashara ndogo waende sehemu iliyopangwa ili wajiandikishe na kupata hivyo vitambulisho.
Kwakuwa nilikuwa sijaviona kwa macho yangu nikasema ngoja niangalie hili picha mpaka mwisho .
Baada ya muda fulani naona watu wanarudi meno yote nje baada ya kuvipata(wanalipia 20000)
Mimi nikasema ngoja nifanye research kidogo ili nijue wanafa27nya biaahara gani....haaaa hapa nimecheka wawili kati ya watano niliowauliza wanafanya biashara kwenye soko (wana vimeza vidogo kwenye soko) kwahiyo wanasema ushuru na kodi nyingine bye bye, wale wengine mmoja ana stationary na wawili wanauza urembo wanatembeza.
Lakini vile vitambulisho vina alama au chapa ya TRA sasa nikasema kweli hawa wanaelewa hata maana yake au wamechukua tu kwa mkumbo.
Lakini yote kwa yote Sirikali tayari imeingiza hela 20000 sio ndogo na ukizingatia watu wa aina hii wengi na baadhi ya kodi au ushuru wa halmashauri utaendelea kuwa palepale.
Papushikashi.