Maajabu ya vitambulisho vya Magu

Maajabu ya vitambulisho vya Magu

Inawezekana mimi nikawa kama ulivyoniita lakini unajua asilimia kubwa wafanyabiasha wengi wanaolipa kodi na leseni ni wafanyabiashara wa mitaji ya kawaida? Mfano kuna watu wa stationary wana mitaji chini ya 4m vp hawa wote wasipolipia leseni halmashauri zitapata wapi pesa ? Na vipi ushuru wa Masoko na minada halmashauri wakiacha kuchukua watajiendesha vp?
Pamoja na kwamba umeniita mpumbavu lakini kuna siku utakuja kuniambia au serikali kubadilisha matumizi ya vitambulisho hivi.
Asante

Mkuu huo ndo ukweli, asilimia kubwa ya chanzo cha mapato ya halmashauri yanatokana na wafanyabiashara wenye mitaji chini ya million5, na wengi tu wana leseni za biashara. Sasa wakikimbilia kweny vitambulisho hali lazima ibadilike kweny halmashauri au TRA
 
Mkuu hapo maajabu ni yapi? Mimi nadhani maajabu yako nchini Uganda ambapo kiongozi Mkuu wa upinzani mwenye wafuasi million 2 alikuwa DJ
Kusaga alikuwa DJ but today ni mmiliki wa one of powerful media house.... Endeleeni kushangaa
 
Tatizo ni serikali kushindwa kutoa mwongozo unaoeleweka, usishangae ugomvi wa mgambo wa halmashauri ikarudi upya.

Serikali iteo elimu ya kutosha kuhusu hivi vitambulisho, au wanasubiri wauze kwanza ndio waje na elimu ya ufafanuzi kuhusu hivyo vitambulisho.?
Wakishaviuza vyote say viko milioni 2 watakua wamepata 40,000,000,000. Halafu watasema hivyo ni kwa ajili ya xmas duty and death levy. Kodi zingine zote mnalipa kama kawaida mpaka VAT ya ushuru wa soko.
Kwani wa TZ ni watu ? Juzi mmoja kaniambia rangi ya bendera ni ya dhahabu wakati kuanzia '71 najua ni njano. Akaenda mbele zaidi akasema wimbo wa taifa hauruhusiwi kuimbwa mashuleni. Nikajiuliza hivi anategemea wajukuu wangu wataujulia wapi? Mind you aliyetoa kauli hiyo kwa maandishi ana elimu ya PhD.
 
Rais alisema mwenye kitambulisho hasisumbuliwe na TRA wala halimashauri halafu wewe leo unasema watasumbuliwa na halimashauri kwa ushuru.
Ina maana haukumuelewa Rais?
Au umeandika kujifurahisha na kuwafurahisha wapumbavu wenye chuki na taifa lao?
Au umeamua tu kuwa mpumbavu bora wa mwezi?
Swali la mwisho, unajua maana ya maajabu?
Mwambie mwalimu mkuu akurudishie karo yako since you got nothing in your schooling.
Akujibu hayo maswali..tujue kosa la wafanyabiashara ni nini?
Wasivichukue??
 
Tatizo ni serikali kushindwa kutoa mwongozo unaoeleweka, usishangae ugomvi wa mgambo wa halmashauri ikarudi upya.

Serikali iteo elimu ya kutosha kuhusu hivi vitambulisho, au wanasubiri wauze kwanza ndio waje na elimu ya ufafanuzi kuhusu hivyo vitambulisho.?
Ccm hutawala kwa kutumia ujinga wa tz so wakitoa elimu tu havichukuliki sasa itakuwaje 20000*25000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa yule Wa stationary anachukua vya nn? Kwan Yeye hana 4m+ mtaji
 
Sasa wewe Mtanzania mwenzangu ulitakaje?
 
Back
Top Bottom