Maajabu ya Tarakimu

Maajabu ya Tarakimu

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Sasa utakuwa umeshajua
kwa nini nambari ziko hivyo
Info hii umeipata kwa hisani ya Boflo


attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    32.8 KB · Views: 1,176
Hii nimeipenda kama sio kweli bs hongera kwa ubunifu wa hali ya juu.
 
mhhh Boflo wapi ilivumbuliwa hii?
napata maswali mengi kuhusu namba 7, 1 na 9......
Paloma, kwani we hujui kuremba mwandiko? Ndio maana wenye mwandiko mzuri uliorembwa wanafaulu kwa sababu mwandiko uliorembwa uko feki, una uwongo mwingi ndani yake.
Sitaki umuulize Boflo maswali mengi.
 
Last edited by a moderator:
msilalamike kakosea... ameshasema ni kwa hisani yake, aidha nzuri au mbaya...
 
Inafanana na ukweli ingawa MKUU wangu wewe ni msanii hasa.
 
Wonderful, amazing exclusive creation which makes sense
 
Paloma, kwani we hujui kuremba mwandiko? Ndio maana wenye mwandiko mzuri uliorembwa wanafaulu kwa sababu mwandiko uliorembwa uko feki, una uwongo mwingi ndani yake.
Sitaki umuulize Boflo maswali mengi.


kumbe basi na mie niitakuwa niifaulu kwa kudangannya!!! maana nilikuw anaremba muandiko balaa! ila kufika chuo sasa..........mhhh
 
all in all Boflo kazi nzuri sana banaa.....big up!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom