Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Mwanaume akimkinai Mwanmke ndo huwa yuko ivyo..yani hana Amsha amsha na ww na kuhs kukuhudumia cjui,Cjui sex anafanya Kutimiza wajib tu ucje mlaumu wala kumlalamikia@
 
Mwanaume akimkinai Mwanmke ndo huwa yuko ivyo..yani hana Amsha amsha na ww na kuhs kukuhudumia cjui,Cjui sex anafanya Kutimiza wajib tu ucje mlaumu wala kumlalamikia@
ok
 
Hivi kwanin member wengi wanaotoa post wamejiunga from january hii inamaanisha nini?
 
Tafuta boya wakukupetipeti huyo ana mtu wake huko alikobussy ww mtumie kwa pesa na kukazana tu but selina future banange!
 
Huenda yupo busy, au ana aibu, au we ndo msichana wake wa kwanza hivyo hajui kupeti, au huenda ni asili ya Kuzaliwa maana kuna makundi ya watu na katika uhusiano yanamatter pia, nenda kasome hayo makundi ili umuelewe mpenzi wako ni wa aina gani itakusaidia kukopi nae, au huenda wewe mi mchepuko hataki kupeti ili usinogewe!! Maswali ya kujiuliza ni mengi aisee na majibu hutayapata popote zaidi nenda kaongee na mhusika mwenyewe ndo atakupatia majibu.
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Usijali nipe namba yako nikueleze vizuri
 
Mbali na kukazwa na hela, wanawake wanapenda care pia kama kumkumbuka mara kwa mara kwa mawasiliano n.k
 
SASA ON A VERY SERIOUS NOTE!
sikiliza mdogo wangu!
KILA MWANADAMU ANA AIAN TOFAUTI YA KUONYESHA UPENDO!
wengine upendo ni kuhudumia mwanamke wake
wngine mapenzi ni kukukaza vizuri
wengine mapenzi ni kukutangaza mbinguni na duniani
wengine mapenzi ni kukuchekesha
wengine mapenzi ni kukubembeleza
wengne mapenzi ni kukupa deal za kitaa
wengine mapenzi ni kukuambia nakupenda mchana usiku na alfajiri
wengine mapenzi ni kukupeleka salooni na kukusifia umependeza

SO HEBU RIDHIKA NA JIFUNZE KUFURAHIA MAPENZI KULINGANA NA MPENZI ULIYENAYE!
HAKUNA FORMULA YA NAMNA NZURI YA KUONYESHA MAPENZI!
MAAANA MI NAMI MWANAUME WA KUNIPIGIA SIMU ASBH MCHANA JIONI NA ALFAJIRI SITAKI HATA KUMSIKIA!
mwanaume wa kushindwa kunipa umbea wa kina james delicious,mashairi ya Darasa na kushare recipes za tambi na nyama ya kuku huyo asee anaweza nipa maisha magumuuuu!
umeona enh?
so hata wanawake mahitaji yetu sio sawa!ni kujitwist tu accordingly!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom