Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
hahaahha umenichekesha kidgo nipaliwe na mate..kwa kweli, ataka elwa hyo formula atakua bill gatesHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
hahaahha umenichekesha kidgo nipaliwe na mate..kwa kweli, ataka elwa hyo formula atakua bill gatesHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
ha ha ha pole sana mkuu ila ndio ukwel wenyewehahaahha umenichekesha kidgo nipaliwe na mate..kwa kweli, ataka elwa hyo formula atakua bill gates
duh...kweli eehVitu vingine vina jieleza vyenyewe kama mtu ana weza kukupa mahitaji yako yote kwanini asiwe ana kupenda? Na ujuwe kuna aina hiyo ya wanaume wagumu kuonyesha hisia zao ila utaona kwa vitendo angalia usije kuwa una chezea shillingi chooni kisa kupetiwa
sana yaniIla kama ikiwezekana apewe maneno na vitendo vitamu kwa pamoja
nampet sana ndo naona nalemewaKikubwa anakuhudumia kila unachotaka anakupa hivyo vingine achana navyo tu, angekua hakupendi sidhan kama angekua anatimiza vyote.
duh....umenigombeza sanabt thanks...mekuelewaSheee*****iii sana ....weee mdada wenzio wanasaga meno kulilia mtu wa kuwatunza, kuwahudumia, wewe unapewa hadi surplus halafu unaleta maujinga yako eti vipi jamaa ananipenda......mppyuuuu.....anyway labda kama umekuja kututambia sisi wanawake wenzako kama mwenzetu una jamaa anaekujali, otherwise stop ur nonsense, keep obeying ur man down to earth, of his kind are no where to be seen! If I were u mmmhhh nahisi ningekua naitika kabla hata hajaniita.....kwa usawa huu wa magu.....uuuwwwii!
na yy pia anakupenda ndio mana anakupa kila unachohitaji vitu vingine kujipa stress tunampet sana ndo naona nalemewa
ok luv....asantrna yy pia anakupenda ndio mana anakupa kila unachohitaji vitu vingine kujipa stress tu
nikwambie kitu.....nisingekua nampet asingefanya hayo....sema mm pekeang ndo namtafta kweny sim kumchek n akila kit yy ana provide tu....sio et nimebweteka NOHajui ugumu wa kutafuta pesa ndio maana analeta ujinga, na pia hajui bei ya moyo wenye kujali, baya zaidi hajaitambua nafasi yake kama mwanamke kwenye penzi lao. Analishwa, anapewa kila kitu, yeye ndio anatakiwa awe anamtia hamu jamaa, yaani ampetipeti jamaa, sasa iko upside down yeye ndio anataka jamaa anae toil ili yeye ale tena apate na kazi ngumu ya kumpetipeti...loooohhh! Anatakiwa kupelekwa mkoleni hakyanani!
ahhahahhaha acha kuzingua!yes naona umejib vbaya...ila thanks kwa ushaur
hayaahhahahhaha acha kuzingua!
mi mekupa ushauri kama ulivoulizA!
kukaza si umeandika mwenyewe?
sasa mi kuongezea kikazwa tu hapo ndo unaona issue?
ILA KWELI MALIZA MKAZO OSHA PAPA!lala!MUACHE AKATAFUTE HELA NAULIA YA KURUDI UNAKOKAA UJIENDELEE KUANGALIA TELEMUNDO!
Amen....asantr sanaWewe ndio umpetipeti! Mwambie yote matamu, ukimpelekea mgegedo hakikisha uko katika viwango vizuri, yaani uko sawa kimuonekano kama mwanamke, ukifika kule hakikisha unampa raha zote hubakishi hata chembe, unajituma kwenye mgegedo, mwambie mara nyingi nyingi kuwa unampenda, na umsifie vile anavyokugegeda vizuri na usisahau kumshukuru kwa vile anavyokujali....fanya hayo ongeza na ya kwako, halafu ulete mrejesho hapa! Kubwa zaidi, muweke chini ya ulinzi wa Mungu kwa imani yako maana wa hivyo wanawindwa!
Ni kweliAchana nae huyo hakupendi,
tafuta kiserengeti boy chenye maneno matamu matamu,
huyo aakili yake iko kwenye kutafuta hela
Au tumuitie miss chagga aje amfunde huyu bintiHahahahah
Hatari Sana Mkuu, yan miaka mitatu hana kazi anamtegemea jamaa kwakila kitu na anamtimizia vyote lakini haridhiki!!!Hawaridhikagi hawa viumbe
usikute kuna makungwi wa instagrama na watsaap group washaanza kumuingiza mkenge..
hahahahh miss chagga aje tu amfundeAu tumuitie miss chagga aje amfunde huyu binti
Ha ha ha ha una akili nyingi snkikiki huu mwandiko umeuelewa? sema jams kafuta upuuzi wote sijui katishwa na polisi