Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,252
- 14,900
UAE, Saudi Arabia, Bahrain, oman & co. hairuhusiwi kusali barabarani ktk nchi karibia zote za kiarabu zilizostaarabika, na ukionekana kwa mfano dubai unakamatwa mara moja kwa kufunga barabara na kubugudhi wengine lkn muslims wa tanzagiza, ulaya au hata USA wanafunga barabara kusali na inaruhusiwa, hata islamic republic of iran hairuhisiwi kufunga barabara na kusali utakamtwa mara moja, dunia simama nishuke ...
Muslims wamefunga barabara huko Ufaransa, wakifanya hivi dubai watakuwa arrested mara moja
Muslims wamefunga barabara huko Ufaransa, wakifanya hivi dubai watakuwa arrested mara moja