Maajabu ya muslims!

Maajabu ya muslims!

siyo kweli dabai hairuhusu kufunga barabara labda tu polisi hawakuwaona lkn ni illegal jaribu kujielimisha tena sheria za uae, na siyo dubai tu, saudi arabia au hata irani (islamic republic) hawaruhusu pia kufunga barabara kusali ...
Wewe fyongo brain unawashwawashwa na uislamu, unataka kusokomezewa jiti la muhogo ukae kimya

Hapa ni wapi manyoko wewe

1766510904053.png


1766510957977.png

1766510987243.png


View: https://www.facebook.com/watch/?v=383774449568841
 
Wewe ndio umekuja kwenye post yangu sijakuita.
Unasemaa nilichosema ni uongo ili hali hata passport huna hapo ulipo.
Una google information
Dogo,
Huko Middle East nilishakaa, na kwingine pia. Cha msingi jikite kwenye mada
 
Dogo,
Huko Middle East nilishakaa, na kwingine pia. Cha msingi jikite kwenye mada
Mm nimethibitisha kuwa watu barabarani wanaswali na mm mmoja wapo.
Acheni kugoogle vitu AI zitawaponza hizo tembeeniii mjionee ulimwengu.
kazi kulishwa propaganda tu
 
Tatizo ni kulazimisha misikiti kuwa katikati miji matokeo yake wanapata vieneo vidogo tu na kuanza kufunga barabara. Waige kwa wengine wanaoenda nje ya mji na kuchukua hekta kadhaa.

Ila pia ustaarabu waongeze. Kufunga barabara ni ushamba
 
Dogo,
Huko Middle East nilishakaa, na kwingine pia. Cha msingi jikite kwenye mada
Mm nimethibitisha kuwa watu barabarani wanaswali na mm mmoja wapo.
Acheni kugoogle vitu AI zitawaponza hizo tembeeniii mjionee ulimwengu.
kazi kulishwa propaganda
 
90% ya Uislam ni utamaduni wa Waarabu, hapa bongo huo utamaduni ndio dini yenyewe sasa 😂
 
UAE, Saudi Arabia, Bahrain, oman & co. hairuhusiwi kusali barabarani ktk nchi karibia zote za kiarabu zilizostaarabika, na ukionekana kwa mfano dubai unakamatwa mara moja kwa kufunga barabara na kubugudhi wengine lkn muslims wa tanzagiza, ulaya au hata USA wanafunga barabara kusali na inaruhusiwa, hata islamic republic of iran hairuhisiwi kufunga barabara na kusali utakamtwa mara moja, dunia simama nishuke ...

Muslims wamefunga barabara huko Ufaransa, wakifanya hivi dubai watakuwa arrested mara moja
View attachment 3519627
Huna akili,chuki zitakuuweni hizo,mnapata wapi muda wakuchukiana wapuuzi nyie.
 
Hiyo ni show off na kulazimisha ugomvi... wenye akili wanawapotezea na kuendelea na mambo yao. Yaani ni kulazimisha kukubalika.
 
Sahivi tunataka kufunga mtaa siyo barabara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom