BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Vipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajuaKIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?

Anzisheni stesheni yenu mjikusanye mabavicha yote yanayopenda kupinga na kubishana kila siku.KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?
Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.
Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
Askari mstaafu kaaongea utumbo sana.Vipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajua
Nadhani wale jamaa huenda wameajiriwa ili kulipwa na ITV kuwa washiriki wa kudumu katika kipindi chao cha malumbano ya hojaVipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajua