Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,801
KIPINDI: Malumbano ya Hoja
MAADA: Miaka miwili ya serikali ya awamu ya tano, nini mafanikio na changamoto?

Wachangiaji wote wanamsifu Magufuli, hakuna anayemkosa raisi. Wakuu, mimi ni mfugaji wa ng'ombe, hata ng'ombe huwa hawafikiri sawa. Unaweza ukataka kuwasagwa waende mbele lakini utaona kuna wengine wanaenda pembeni na wengi wanarudi nyuma, hiki ni kiashiria kwamba ng'ombe pia hutofautiana fikra na maamuzi.

Nashangaa kuona hawa wachangiaji wote wana mawazo sawa, je? watu hawa wametolewa wapi na ITV?
 
Vipi Rais wa bao na yule Askari mstaafu mwenye mapengo yupo? kwani huwa hawakosi kila mada anajua
 
Anzisheni stesheni yenu mjikusanye mabavicha yote yanayopenda kupinga na kubishana kila siku.
 
woga na njaa ni hatari sana,ndio nyenzo kuu za kumfanya binadamu yeyote awe mtumwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mleta mada unafuga mbuzi wewe kuwa mkweli tu,hiyo ndiyo tabia yao,hata Yesu hakuwa akiwapenda kiviile! mfano katika kundi lake mbuzi alikuwa Yuda tu ambaye aliishia kujinyonga mwenyewe.
 
70 Reactions
Reply
Back
Top Bottom