Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Unataka wafanyeje? Watoke Barabarani na Familia zao waandamane kwa niaba yenu nyie mkiwa facebook sio? Acheni ujinga walisha ona Watanzania sio watu wa kupiganiwa
Na huo ndio ukweli wenyewe !! Sasa tusubiri tu uwezo wa Mungu!!
 
Wakosoe tu kama walivyokuwa wanamkosoa rais aliyepita, kama wanaona sasa hivi wanakula asali na hawana sababu ya kukosoa serikali basi akija kiongozi akikata asali yao wasije kupiga kelele zao na kujidai wamebeba ajenda za wananchi kumbe wana hasira zao binafsi. Wale asali ikikatwa walalamike kukatiwa asali na sio kujifanya kuanza kuongea ufisadi sijui udikteta hatutaki unafki.
Umenena!
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Tamaduni zetu za kiafrica haziruhusu mtoto akiwa ANAKULA kuongea!!!
 
Unataka wafanyeje hasa? Yaani watoke Barabarani waandamane kwa niaba yenu sio? Huo ni upimbi
Waseme tu kama walivyokuwa wanasema zamani !! Tena kwa sasa ndio upo uhuru wa kusema kuliko ilivyokuwa awamu iliyopita !! Watu wakiwaona kimya hivi sasa ndio speculation za Asali zinakuwa na nguvu !!
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Huna akili wewe, mbowe ndo Rais wa Russia au Ukraine,
Huwa kabla hamjaandika uharo wenu tumia akili kutafakari
 
Wameshapiga harakati nyingi ila tunaopambaniwa tumeweka mikono nyuma tuna tamani sana pesa zitiririkie kwenye mifuko yetu tukiona tunajifaidisha
Kumbe tungeacha zitiririke katika kisima ambacho kila mtu angekuja kuchukua kidogo kwa mahiyaji yake tungefaidika zaidi
 
Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
Tangu waanze kuwapigania ni lini mliwaunga mkono? kila mtu afanye yake
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Kwani ulitarajia nini? Magufuli aliapa hanunui vibaraka. Unakumbuka yale mapesa aliyopewa jamaa mmoja na nyingine akaenda kupewa kule Ujerumani kwa mama mmoja wa Inwent? Huyu jamaa na huyo mama walitishia kumshtaki yule aliyeibua hilo jambo. Walimshtaki? Jamaa akadhani kwa Magu ataenelea kupata huo mgao. Alipokosa akawa mkali kuliko pili pili. Kuna kila dalili kaanza tena ule mrija. Mbowe alikaa nyumba ya serikali bure, Magu alipomgundua na kumtaka alipe kodi au aondoke hatokaa asahau uhondo uliomponyoka. Atamsingizia kila ushetani. Fatuma unatarajia aongee nini ?
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Hiyo " mwamba makamba" bila shaka Ni "mwamba kalamba" hapo.
 
Hali tete nini? Huwa hamtakiwi huyo Mikengeza wenu akosolewe! Lini ulimsikia Mbowe nazungumzia gharama za maisha zaidi ya kuzungumzia mambo yake ya sasa uchwara!

Katiba mpya sio cha kula mzee! Ndo maana hata Mbowe katina yake ya chama haifati! Mwenyekiti zaidi ya miaka 15! Katiba bila uzalendo ni makaratasi yenye waandishi tu yasiyo na maana!
Fursa hiyo. Zungumzia wewe juu ya hali ngumu ya maisha. Kwani Mbowe alizaliwa kukuzungumzia wewe?
Hali tete nini? Huwa hamtakiwi huyo Mikengeza wenu akosolewe! Lini ulimsikia Mbowe nazungumzia gharama za maisha zaidi ya kuzungumzia mambo yake ya sasa uchwara!

Katiba mpya sio cha kula mzee! Ndo maana hata Mbowe katina yake ya chama haifati! Mwenyekiti zaidi ya miaka 15! Katiba bila uzalendo ni makaratasi yenye waandishi tu yasiyo na maana!
Mbowe hajazaliwa ili akuzungumzie wewe. Kama unaona shida kamata fursa hiyo.
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
kipindi kile si mlisema wanapiga kelele acha wakae kimya na mm natamani wakae kimya ili tuache unafiki

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom