Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Inakuaje mtu mzima na gari unamiliki mafuta unanunua wewe lakini bei zikipanda umtegemee mwingine kukupigania? Wengine tunawasoma humu ndani kila wakati wanabeza zinazoitwa harakati, jana nimewasoma wanamlilia mwingine awapiganie. Kwenye nyongeza ya mishahara hivyo hivyo. Vijana wa kitanzania mmekuwa vilema au bubu? Kimsingi sio malamiko genuine ni siasa za kupambania legacy ya mtu na kukumbatia ujinga mliojazwa kwamba mna mkombozi halali anawapenda. Siku itapofika tipping point ndio mwisho wa utegemezi kwa wengine kupambania ya msingi.
 
Mtu kwa hasira anakwambia hadi ukazikwe na huyo Magufuli, sasa unajiuliza zile hasira zilikuwa ni za kuchukizwa tu na uongozi mbovu wa Magufuli au zilikuwa hasira zilizo sababishwa na masilahi binafsi?
Sasa mtu ambaye ana uchungu na nchi hadi akaweza kumuongelea vibaya marehemu kwa sababu alikuwa kiongozi ila ndio leo anashindwa kumkosoa kiongozi aliye hai.
Zitto anaroho mbaya sana pia udini unamsumbua!
 
wewe na mamako
mmeshindwa kuongea au kuandamana kama kwenu
maisha ni magumu kufeni
wajinga nyinyi mkiporwa
uchaguz kwa ujinga wa tume
na polis hamuandaman
mkiambiwa muandamane
sasa nasema wanalumumba
kama maisha yamawia vigumu
you have to perish that is all.
Yaleyale ya kupigania masilahi ya wanasiasa tu, ukiona mwanasiasa anapiga sana kelele au anataka muandamane basi hilo ana masilahi nalo kisiasa.
 
Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
He was the worst president ever.
 
hehhe na wao wana familia na maisha mengineyo nje ya siasa..wamewekwa mahabusu mara ngap ndani ya kipindi cha miaka 10 iliopita huku wewe ukila ugali wako na dagaa.? wacha maisha yaende hivi.pengine tutaelewana after the next ten years
 
Inakuaje mtu mzima na gari
unamiliki mafuta unanunua wewe lakini bei zikipanda
umtegemee mwingine
kukupigania? Wengine
tunawasoma humu ndani kila
wakati wanabeza zinazoitwa
harakati, jana nimewasoma
wanamlilia mwingine
awapiganie. Kwenye nyongeza
ya mishahara hivyo hivyo.
Vijana wa kitanzania mmekuwa
vilema au bubu? Kimsingi sio
malamiko halisi ni siasa za
kupambania legacy mtu na
kukumbatia ujinga mliojazwa
kwamba mna mkombozi halali
anawapenda. Siku itapofika
tipping point ndio mwisho wa
utegemezi kwa wengine
kupambania ya msingi.
Binafsi ule msemo wa wapinzani wametuchelewesha huwa nauelewa kwa maana ya watu kukaa na kutegemea kuna viongozi wa upinzani huko wapo kwa ajiri ya kutetea masilahi yetu na huwa tunapigania hadi masilahi yao bila kujua. Hali hii imetupotea muda bora toka mwanzo tungekuwa na umoja na kuamua kupigania masilahi yetu sisi wenyewe na sio kutegemea wanasiasa ambao nao wana masilahi yao.

Sasa mwanasiasa mambo yake yamenyooka ana haja gani ya kuingia kwenye kugombana na serikali? Ila sisi ndio tunaangaika.
 
hehhe na wao wana familia na maisha mengineyo nje ya
siasa..wamewekwa mahabusu
mara ngap ndani ya kipindi
cha miaka 10 iliopita huku
wewe ukila ugali wako na
dagaa.? wacha maisha yaende
hivi.pengine tutaelewana after
the next ten years
Wao ni wachache sana ukilinganisha na wananchi wengi waliyofungwa huko jela kwa uonevu kwa miaka mingi, ila tizama wao wakiingia jela wapo watu wa kuwapigia kelele hadi wanaachiwa hali ya kuwa ndugu zetu bado wapo kule jela .
 
Watanzania sisi wenyewe ni
tatizo, maana wanasiasa wanatuongelea sana ila sie
tunawavunja nguvu....
Mfano ni mara ngapi
tunaambiwa tuingie
Barabarani kupinga Rushwa,
kuteka na kupoteza watu,
matumizi mabovu ya rasilimali
( keki ya taifa ) na gharama za
maisha kupanda kihorela,
wakifikia hapo utasikia mtu
kabisa na akili zake anasema
"waandamane na familia zao"
huku ukilalamika JF
hawakutetei sasa unafiri hata
wao hawachoki...!!?
Wanatetea watu wasiojua ni
kitu gani hakiko sawa, hata
ingekuwa ni wewe ndg....
Ina maana baada ya kufa Magufuli na kuingia Samia ndio wao wakapata uchovu na kuchoka kuendelea kukuosoa au kupigania wananchi?
 
Wapinzani walipodhulumiwa
Ubunge na Dikteta Mwendazake MLIKAA KIMYA
Waliposhtakiwa na
Kubambikiziwa Kesi za Uongo
za Ugaidi mliwaachia
Chadema wapambane
hamkupaza Sauti
Chadema wanapigania KATIBA
MPYA mpo KIMYA
Kwahiyo unaona ubunge na udiwani waliyodhurumiwa ni wapinzani tu ila wananchi waliyopiga kura na kuwachagua hao wapinzani wao hawajadhurumiwa?
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Nenda kamlalamikie bwana wako jiwe huko kuzimu aliko

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka wafanyeje? Wewe huna mdomo wa kupaza sauti? Wakiwaambia mtoke Barabarani mtatoka?
 
Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
Ulitaka wafanyeje? Watoke waandamane kwa niaba zenu? Wewe ukiwa ndani umelala sio? Yaanu mna uoga kuliko hata Panya then mnataka wao ndo wawapiganie. Never
 
Binafsi napata mshangao sana Mafuta yanapanda zaidi na zaidi ,sio Mnyika ,sio Zito,sio Mbowe ,sio upinzani Maisha yanakua magumu kwa wananchi wengi ila kuna mtandao unanufaika zaidi

Awamu YA tano wakati serikali inajenga miundo mbinu ,upinzani walikua wanasema wananchi hawali miundo mbinu

Sasa hivi hawasemi wananchi kama watakula Katiba
Unataka wafanyeje hasa? Yaani watoke Barabarani waandamane kwa niaba yenu sio? Huo ni upimbi
 
Ulitaka wafanyeje?
Waandamane wao kwa niaba
zenu?
Wakosoe tu kama walivyokuwa wanamkosoa rais aliyepita, kama wanaona sasa hivi wanakula asali na hawana sababu ya kukosoa serikali basi akija kiongozi akikata asali yao wasije kupiga kelele zao na kujidai wamebeba ajenda za wananchi kumbe wana hasira zao binafsi. Wale asali ikikatwa walalamike kukatiwa asali na sio kujifanya kuanza kuongea ufisadi sijui udikteta hatutaki unafki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom