Jamani huyu jamaa anataka utumie akili yako kuelewa alichomaanisha. Nimegundua watu wengi wakisikia kaskazini wanakimbilia kusema ni Tanga, KLM, na Arusha wakati mwny mada kasema angalia upande wa kaskazin kwa pale ulipo, waliopo Arusha kaskazini yao haiwez kuwa pale walipo itawaelekeza sehemu nyingine jamani tuwe waelewa.
Kas KAZINI. Ku SIN i. MASHARI ki. Ma GHARIB i.
Jamani huyu jamaa anataka utumie akili yako kuelewa alichomaanisha. Nimegundua watu wengi wakisikia kaskazini wanakimbilia kusema ni Tanga, KLM, na Arusha wakati mwny mada kasema angalia upande wa kaskazin kwa pale ulipo, waliopo Arusha kaskazini yao haiwez kuwa pale walipo itawaelekeza sehemu nyingine jamani tuwe waelewa.
jamani mimi si mbaguzi wala mchochezi ila nilitaka kuwafikirisha watu zaidi kwa sababu nimechoshwa na nyuzi zisizokuwa za kufikirisha akili.
kwa ambao wamenielewa vibaya nawaomba msamaha.
kwa walionielewa nawapongeza.
kwa ambao hawajaisoma naomba waisome na kujipa muda wa kuitafakari ili wasinihukumu vibaya,ukinisoma kwa umakini utagundua siri iliyopo.
hata tukija kwenye siasa pamoja na kuwa halikuwa lengo langu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anatoka kaskazini mwa mkoa wa pwani.
siku nyingine nitawaeleza kwa undani hiyo siri kwa nia nzuri tu.
jamani nasisitiza msamaha kwa wale waliofikiria kwa upande mmoja tu kwa sababu ndio uelewa wao na hakuna jinsi ya kuwabadilisha wafikiri pande zote.
Ni sawa lakini pia kuna upande wa pili............
Ushoga umeanzia kaskazini......Wizi umeanzia kaskazini...........Watumwa walipelekwa kaskazini........Ubaguzi ulifanywa/unafanywa na watu wa kaskazini................Biashara ya ngono imeanzia kaskazini.............Vita ya dunia imeanzia kaskazini...............N.K
Mimi niko Corea ya Kaskazini. Maendeleo yako Kusini.Waambie mkuu! Hata Nigeria maendeleo yako Kusini na si Kaskazini, amekosa hoja huyu jamaa. Ni mbinu zilele za kudhoofisha harakati za Cdm.
jamani mimi si mbaguzi wala mchochezi ila nilitaka kuwafikirisha watu zaidi kwa sababu nimechoshwa na nyuzi zisizokuwa za kufikirisha akili.
kwa ambao wamenielewa vibaya nawaomba msamaha.
kwa walionielewa nawapongeza.
kwa ambao hawajaisoma naomba waisome na kujipa muda wa kuitafakari ili wasinihukumu vibaya,ukinisoma kwa umakini utagundua siri iliyopo.
hata tukija kwenye siasa pamoja na kuwa halikuwa lengo langu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anatoka kaskazini mwa mkoa wa pwani.
siku nyingine nitawaeleza kwa undani hiyo siri kwa nia nzuri tu.
jamani nasisitiza msamaha kwa wale waliofikiria kwa upande mmoja tu kwa sababu ndio uelewa wao na hakuna jinsi ya kuwabadilisha wafikiri pande zote.
Hii nayo unaiita thread ya kufikirisha?? acha kujidhalilisha, nilifikiri baada ya comment mbili au tatu utashtuka na kupotea naona bado uko palepale!!
1. Angalia ikweta ilipo ikweta inagawanya southern and northern hemisphere!! Haraka unaiona Autsralia iko chini zaidi kuliko hata Tanzania!! nadhani sihitaji kukueleza kirefu kuhusu Australia!! sitaki kufanya dhambi hiyo
2. DNA zimeonyesha maisha yalianzia afrika na kuanza ku-migrate toward northenr and southern hemisphere na mabadiliko ya mwili yalirespond hali ya hewa ya mahali hapo. evidently melanin mwilini inapungua kulingana na joto au baradi ya mahali husika...ndio maana automatically rangi zainabadilika unapoenda kenye poles
Kiasi kikubwa cha hali ya hewa kutoka ikweta kuja kusini hakibadiliki nyingi za nchi hizo ni tropic na hivyo hakuna effect ya mabadiliko ya hewa
3. Maendeleo ya dunia yamekuja kutokana na weather za mahali husika, shida, disaster n.k hakuna distinction ya weather ya kwenu Moshi na mbeya!!! ni ile ile zote ni tropical zones
Haya mabadiliko ya hali ya hewa kwa mwaka( vipindi vinne) ndio moja ya chocheo za maendeleo kwenye baadhi ya maeneo...just imagine ulaya unakaa miezi nane kwenye baridi! what will you do?? lazima utengeneza heater za ku-survive kwenye hali hiyo.....brain works best when is stressed!!
Ulichoandika kinaweza kupingwa zaidi na maendeleo ya eskimo kanada! na maendeleo ya wa-hadzabe au wamang'ati arusha!! unless siyo kaskazini....hoja itapingwa kwa kuwangaliwa Waluo sudani ya kusini na wasomali wengi walio na umaskini wa kutupwa
4. Maendeleo ya kaskazini say europe hayawezi kutajwa bila malighafi zinazotoka kusini ( africa) wala USA hawawezi kuringa bila kula chakula kilichozalishwa america ya kusini enzi hizo!
5. North and South are imaginary!! kila point ni north na south ya nyingine! dunia si ni tufe?? hata balance za weather zina onyesha no distinction za haya maeneo. wakati huku joto kule baridi, wakati kule joto huku baridi!
6. Ningekueleza mengi sana lakini muda hautoshi
kaa chini jua umeandika utumbo, sijaweza kuu-rank kuwa ni wa bata wa mbuzi! na kama kwa kufikiria huku ndio unakuita ni bora...da kazi tunayo
especially when your u r photo says ww ni kabila gani!! shame
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.
naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?
kwa iyo umeona hii yakwako ndo itawafanya watu wafikiri?...haya na mm choo changu kipo kaskazini...ayo ni maendeleo tayari sio?...wewe ni KIZIB.O kweli