Maajabu ya kaskazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya kaskazini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ringo Edmund, May 20, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Atakayepinga hili akapimwe akili.
  Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
  Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
  1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
  2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
  3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
  4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
  5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
  6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
  7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
  8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.

  naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,743
  Likes Received: 6,018
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha! Hata sumaku, isiyo na akili wala ufahamu, ina-point kaskazini halafu inaongoza wataalamu wote wa safari za anga na bahari. Just a joke.
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ona raha. Mimi natoka kaskazini, mke wangu anatoka kaskazini, watoto wangu wanasoma kaskazini, chama changu (CHDM) viongozi wake wanatoka kaskazini. sasa ona Ka-raha: Presida wangu anatoka mashariki, waziri mkuu magharibi, VP mashariki.
   
 4. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Weledi, Ung'amuzi, Ukombozi. Maendeleo vyote hivi huanzia kaskazini anayebisha hajafanya utafiti
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naipenda nchi yangu naipenda Tanzania yangu.Nawachukia wabaguzi hata kama nimetoka upande wao.Mungu ibariki Tanzania
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ni sawa lakini pia kuna upande wa pili............

  Ushoga umeanzia kaskazini......Wizi umeanzia kaskazini...........Watumwa walipelekwa kaskazini........Ubaguzi ulifanywa/unafanywa na watu wa kaskazini................Biashara ya ngono imeanzia kaskazini.............Vita ya dunia imeanzia kaskazini...............N.K
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani wewe ndio ukapimwe akili
   
 8. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Ukombozi wa Tanganyika ulianzia kaskazini(Japhet Kirilo)
  Na ukombozi wa Tanzania kwa mara ya pili utaanzia kaskazini.
  Anayebisha aseme.
   
 9. M

  Maskini Jeuri Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ringo umechemsha. Ukila na kipofu usimshike mkono ili kipofu afe njaa.

  Mods tafadhali tupa hii kwenye trash as haina viwango na vigezo kujadiliwa na great thinkers.

  Ringo think big!
   
 10. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Hata DSM Kaskazini (Kinondoni) imeendelea kuliko DSM Kusini (Temeke)! Kaskazini ndio kila kitu!
   
 11. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukisema Kaskazini lazima umalizie ni kaskazini ya wapi. Maana hata Pwani ni Kaskazini ya Lindi, Morogoro ni kaskazini ya Iringa nk. Mie zamani nilidhani Kaskazini ni juu nikawa nashangaa mto Nile unaelekea kaskazini badala ya kusini kumbe kila upande kuna juu na chini. Vivyo hivyo kila mahali kuna kaskazini, Mashariki,Magaharibi na Kusini yake. Tafadhali usiseme tu unatoka Kaskazini je ni kaskazini ya wapi? Maana pale unapopaita kaskazini ni kusini mwa eneo lingine na ni mahariki mwa eneo lingine nk.
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inaongozwa na watu wa kaskazini,kikwete ni kijiko tuu wanaoongoza nchi ni chadema kila wanachoamua kinakua,chek sasa raisi amekubali kushtakiwa,kweli kaskazini ni soo
   
 13. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Rejao nae alisoma Kaskazini - Ilboru

  Source: Rejao JF in Facebook
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mimi nikisali naelekea kaskazini
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mnh, E bwana ehee!!
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Great Thinkers tumefikia hapa? Huu uzi ni mtego.
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Duh! Mkuu Maskini Jeuri,
  Busara zako ndizo zitakazowaamsha wengi....bila shaka unachotaka kutuambia ni kwamba, Ringo asimwage mchele penye kuku wengi....akifanya hivyo, hata wale Wamakonde wa Tandahimba wanaoisubiria CHADEMA kwa hamu nao watagundua kwamba CHADEMA ni ya kaskazini...!!!! hawa, hawapaswi kushikwa mkono, kwamba waingie tu kichwa kichwa na hadi watakapokuja kushituka TOO LATE!!
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  YAANI hata TUMBIRI niliyekuwa namuheshimu nae anatetea dhana mfu kama hii!!!
   
 19. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mtu wa Pwani....nitakuwa mjinga kuona ufahari kwavile tu mimi natoka pwani wakati sijalipa japo punje ya mchanga ili niwe mwenye asili ya pwani...yaani imetokea tu, by chance nikawa mtu wa pwani!!! Mungu angetaka, angenifanya niwe mtu wa Rukwa, K'njaro au kokote kule!! ya nini basi kukionea fahari kitu ambacho sikutumia nguvu yoyote kukipata!? Hii ni sawa na mwanaume anayejiona bora kwavile tu yeye ni mwanaume wakati nae hakutumia japo a tiny particle ya chochote kile ili awe mwanaume!!!

  Ama kweli, JF Is The Home Of Greatest Thinkers!!!
   
 20. M

  Makupa JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hata kwa dar temeke iko kusini na kinindoni kaskazini
   
Loading...