Maajabu ya kaskazini

Maajabu ya kaskazini

Ukisema Kaskazini lazima umalizie ni kaskazini ya wapi. Maana hata Pwani ni Kaskazini ya Lindi, Morogoro ni kaskazini ya Iringa nk. Mie zamani nilidhani Kaskazini ni juu nikawa nashangaa mto Nile unaelekea kaskazini badala ya kusini kumbe kila upande kuna juu na chini. Vivyo hivyo kila mahali kuna kaskazini, Mashariki,Magaharibi na Kusini yake. Tafadhali usiseme tu unatoka Kaskazini je ni kaskazini ya wapi? Maana pale unapopaita kaskazini ni kusini mwa eneo lingine na ni mahariki mwa eneo lingine nk.
Kaka wewe ni lawyer? Nimependa hii comment yako.Big Up kwani nimekosa kitufe cha LIKE kwani ningekugongea hata 100!
 
Hata wewe Ustadhi unafuga mbwa kweli alsasunn imeingiliwa. kazi ya kuzamia pilau za hitma umeacha?

Naona unakurupuka hovyo tu, wapi Uislam umekataza kufuga mbwa?? bado mkuu wangu nazamia sijaacha.:A S-coffee:
 
Ukombozi wa Tanganyika ulianzia kaskazini(Japhet Kirilo)
Na ukombozi wa Tanzania kwa mara ya pili utaanzia kaskazini.
Anayebisha aseme.

Tangopori huyo Japhet Kirilo alikiwa akitaka kaskazini ijitenge! Alienda UNO kupingana na Nyerere akiitaka Kilimanjaro ijitenge toka Tanganyika na kuwa kanchi huru kwa kuwa ati walikuwa na kahawa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ringo Edmund hii thread yako ni ya kichochezi na kibaguzi. Nchi hii hatutaki mambo ya kasikazi na kusi. Kwamba ukombozi wa pili wa nchi utatokea kasikazini sijui una maana gani? Unamaanisha wakasikazini watawa colonise wa kusini, magharibi na mashariki? Kwa nini huo ukombozi usiwe wa Watanzania wote? Nyerere alitoka Butiama lakini alishirikiana na wazee wa mjini kuleta ukombozi sijui utasema uhuru wa Tanganyika uliletwa na watu wa upande gani.
 
Last edited by a moderator:
Taratiiiibu mmeanza kuvua ile Ngoz ya kondoo mliyojistiri,Kumbe ile Nadharia ya Joshua Nassari ina maana kweli,Sasa Nimeelewa Kwann Zitto amekuwa Zitto kwenu!!!! Haina haja ya kutuzuga kuanzisha majimbo,nyie tangazen Taifa lenu la Kaskazin tuachane na ule ujambaz,utapeli,wizi na Ufisad wa kutupwa,Hata Gray Mgonga,Lowassa,Mramba na Daniel Yona wanatoka kusin mwa jumuia ya Afrika Mashariki!!

Kaskazini mwa tanzania ni wapi?
 
jamani mimi si mbaguzi wala mchochezi ila nilitaka kuwafikirisha watu zaidi kwa sababu nimechoshwa na nyuzi zisizokuwa za kufikirisha akili.
kwa ambao wamenielewa vibaya nawaomba msamaha.
kwa walionielewa nawapongeza.
kwa ambao hawajaisoma naomba waisome na kujipa muda wa kuitafakari ili wasinihukumu vibaya,ukinisoma kwa umakini utagundua siri iliyopo.

hata tukija kwenye siasa pamoja na kuwa halikuwa lengo langu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anatoka kaskazini mwa mkoa wa pwani.

siku nyingine nitawaeleza kwa undani hiyo siri kwa nia nzuri tu.


jamani nasisitiza msamaha kwa wale waliofikiria kwa upande mmoja tu kwa sababu ndio uelewa wao na hakuna jinsi ya kuwabadilisha wafikiri pande zote.
 
Nikweli kabisa Kaskazini inaongoza kwa maendeleo.Shule nyingi za watu wenye vipaji ziko kaskazini.Hata kule marekani kaskazini kunamaendeleo kuliko kusini.Ukombozi wa taifa hili utaanzia kaskazini.
 
jamani mimi si mbaguzi wala mchochezi ila nilitaka kuwafikirisha watu zaidi kwa sababu nimechoshwa na nyuzi zisizokuwa za kufikirisha akili.
kwa ambao wamenielewa vibaya nawaomba msamaha.
kwa walionielewa nawapongeza.
kwa ambao hawajaisoma naomba waisome na kujipa muda wa kuitafakari ili wasinihukumu vibaya,ukinisoma kwa umakini utagundua siri iliyopo.

hata tukija kwenye siasa pamoja na kuwa halikuwa lengo langu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anatoka kaskazini mwa mkoa wa pwani.

siku nyingine nitawaeleza kwa undani hiyo siri kwa nia nzuri tu.


jamani nasisitiza msamaha kwa wale waliofikiria kwa upande mmoja tu kwa sababu ndio uelewa wao na hakuna jinsi ya kuwabadilisha wafikiri pande zote.


Mimi nadhani umeonyesha kuwa u mvivu wa kufikiri. Kabla ya kutunga na kutuma message yako ulitakiwa ufikiri tena kama kweli hayo unayotaka kuyasema ni kweli, kila mahali, na kila wakati.
 
Duh! Mkuu Maskini Jeuri,
Busara zako ndizo zitakazowaamsha wengi....bila shaka unachotaka kutuambia ni kwamba, Ringo asimwage mchele penye kuku wengi....akifanya hivyo, hata wale Wamakonde wa Tandahimba wanaoisubiria CHADEMA kwa hamu nao watagundua kwamba CHADEMA ni ya kaskazini...!!!! hawa, hawapaswi kushikwa mkono, kwamba waingie tu kichwa kichwa na hadi watakapokuja kushituka TOO LATE!!
wamakonde wapo kaskazin ya msumbiji,,,,,na mie nipo kasikazini ya chato,,
 
Ukisema Kaskazini lazima umalizie ni kaskazini ya wapi. Maana hata Pwani ni Kaskazini ya Lindi, Morogoro ni kaskazini ya Iringa nk. Mie zamani nilidhani Kaskazini ni juu nikawa nashangaa mto Nile unaelekea kaskazini badala ya kusini kumbe kila upande kuna juu na chini. Vivyo hivyo kila mahali kuna kaskazini, Mashariki,Magaharibi na Kusini yake. Tafadhali usiseme tu unatoka Kaskazini je ni kaskazini ya wapi? Maana pale unapopaita kaskazini ni kusini mwa eneo lingine na ni mahariki mwa eneo lingine nk.

You are a really GREAT THINKER.....naipenda CHADEMA deeply from my heart, lakini sipendi ubaguzi wa aina yoyote ile isipokuwa kama mtu ni fisadi au mwizi wa mali za umma, nitamchukia na kumtenga kwa wizi wake na ufisadi wake, lakini katu si kwa eneo analotoka....GOD BLESS US.....!!!!
 
Nipo UK, malkia anatoka kusini, mji mkuu London uko kusini, maendeleo ya nchi yako zaidi kusini ..... LOL!!!!!

Angejua hata watu wa kaskazini hapo UK wanadharaulika kwamba hawajui kuongea lugha ya malkia na wanaonekana kama watu washamba, Mpotezee huyu retard na itikadi zake za kubusti self esteem yake kiujinga ujinga, Ukimjibu unampa bichwa.
 
Jamani huyu jamaa anataka utumie akili yako kuelewa alichomaanisha. Nimegundua watu wengi wakisikia kaskazini wanakimbilia kusema ni Tanga, KLM, na Arusha wakati mwny mada kasema angalia upande wa kaskazin kwa pale ulipo, waliopo Arusha kaskazini yao haiwez kuwa pale walipo itawaelekeza sehemu nyingine jamani tuwe waelewa.
 
Katibu wa chama anatoka kaskazini,

Mwenyekiti wa chama anatoka kaskazini

Muasisi anatoka kaskazini

asilimia kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa wanatoka kaskazini

Kweli maajabu ya kaskazini
 
Katibu wa chama anatoka kaskazini,

Mwenyekiti wa chama anatoka kaskazini

Muasisi anatoka kaskazini

asilimia kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa wanatoka kaskazini

Kweli maajabu ya kaskazini

mkuu kwani kuna ubaya gani kwani tunachoangali ss ni quality ya mtu na sio quantity. Alafu we ni mpemba sasa mabo ya tanganyika yanakuhusu nn?
 
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.

naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?

ushoga umeanzia kaskazini na umeshamiri kwa wingi
freemasons wameanzia kaskazini
watoto kulala na mama zao wa kuwazaa kuko kaskazini
wanaojilipua kwa mabomu wako kaskazini
ndoa za jinsia moja zimebarikiwa kaskazini!
wezi na mafisadi wako kaskazini
wenye uroho mwa madaraka na kiasi cha kujitaja wanakotoka wako kaskazini!!
 
Back
Top Bottom