Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
kalaghe
kachabali
kalume kenge
kiuno
kitaaa
kachabali
kalume kenge
kiuno
kitaaa
Hayatuhusu!
Ila itabidi kufunga kibwebwe maana kuna mengi yanakuja
..hahahahahaha..kweli herufi K ni Nouuma.. Mentor unajua...
..hahahahahaha..kweli herufi K ni Nouuma.. Mentor unajua...
na mimi kishasha.
aisee mawazo ya kijima haya sijapata kuona, kwa hiyo herufi nazo zina bahati?
ni kwa africa tu au dunia nzima?
Si hivyo tu, herufi K pia huwakilisha majina ya vyakula vitamu kama vileHebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe
hahahaha! safi sana aisee!zumbemkuu
Hahaha! Umenikumbusha mshkaji wangu KISHASHA nilicheza naye kabumbu timu ya Vatican pale Lushoto anakaa mitaa ya Chakechake na mimi kipindi hicho nikiwa nakaa Kitivo! Hahaha Kishasha aka Kishen batambuze!