Maajabu ya herufi "k"

Maajabu ya herufi "k"

Steven kanumba
Raymond kigosi
Bi kidude
Kanisa katoliki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums


kwikwiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwiwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hili ni jina la mtu?
nimecheka mno
 
said bakhresa nae vp?
reginal mengi?
yusuph manji?
rostam azizi?
edward lowasa?
papaa musofe??????????????????
freeman mbowe?
ndesa pesa?

yaani aisee watu kweli kazi hawana,
pigeni kazi mpate mafanikio achaneni na mawazo ya herufi za shekhe yahya,
sasa kama huna jina lenye herufi K uache kufanya kazi kwasababu huna bahati au?
 
Wengine mnatumia nguvu nyiiingi ! Hii ilipaswa iwe jukwaa la utani !
 
kigoma.kalemia.kalalangabwe.kilimanjaro.katahoka.kwamlomboo
 
Hizi division zero za form four za mwaka jana zimeanza kuzaa matunda. Tutaona na kusikia mengi mwaka huu. Yetu macho na masikio. Asie mwana aeleke jiwe.
 
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe[/QUOTE
Absalom Kibanda
 
Kim Kardashian.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tumia akili yako vizuri. kufikiria kuwa uliowataja wamefanikiwa kutokana na herufi ni kufilisika akili.
 
JF siku hizi kadri muda unavyosogea sielewielewi aina ya mada zinazoanzishwa!..
 
Hitimisho: Ile K yenyewe..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom