Mkuu huna jina hilo Henry Kissinger, Julius Kambaragena mimi kishasha.
aisee mawazo ya kijima haya sijapata kuona, kwa hiyo herufi nazo zina bahati?
ni kwa africa tu au dunia nzima?
Hitimisho: Ile K yenyewe..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hizi division zero za form four za mwaka jana zimeanza kuzaa matunda. Tutaona na kusikia mengi mwaka huu. Yetu macho na masikio. Asie mwana aeleke jiwe.
Efraimu kibonde
Absalom kibanda
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
jakaya kikwete
amani karume
jommo kenyatta
mwai kibaki
paul kagame
fareed kubanda
juma kaseja
john kennedy
laurent kabila
zitto kabwe
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe
JF siku hizi kadri muda unavyosogea sielewielewi aina ya mada zinazoanzishwa!..