engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
- Thread starter
- #21
hawa jamaa huwa ndio tishio letu katika utalii......serikali yetu inatambua hilo lakini sijui kwa nini hailishughulikii.......na cha kushangaza hawana vivutio kama tulivyo navyo sisi.....huwa mara nyingi tunawabana pale wanapopatwa na matatizo......ndio inakuwa neema kwetu.....
tatizo lipo wapi Preta? kwanini wawetishio wakati sisi ndio wenye kila kitu kuzidi wao? rushwa rushwa rushwa