Maajabu ya bongo movie..

Sio Tu movie , hata pia mziki Bado Sana. Mfano diamond cha mtoto ukimcompare na davido
 
Inashangaza hata filam zingine huwezi angalia na wwt. Acha filam hata matangazo ya biashara. Jaribu kusikiliza tangazo la kondom. Mara helement oh nava sasa nava, mara ah baby hata kondom unita helmet?. Hilo likitolewa nauko wwt hasa mabint kuna maadili hapo. Hahusika wapo wapo tu
 
niliiona hii movie ya mtoto na mama kama mtu na demu wake...
 
niliiona hii movie ya mtoto na mama kama mtu na demu wake...yaan hawawez kutofautisha hata umri
 

Siku hizi naona hata hizo institution za vetting ya matangazo ziko usingizini kwani kila kitu kina kwenda hali rojo, ni upigaji wa kwenda mbele. Hata pale wafadhili wanapokuwa wametusaidia kugharamia tangazo, wameachiwa uhuru kujitangaza kwa nkwenda mbele, hili ndilo shamba la bibi, wajukuu wanajichotea wanavyoona
 

Kaz ipo kweli kweli hii nchi.... hao hao wasanii wamebaki kulalamikia maslahi wakat kaz zao zenyewe mbovu afu chini ya kiwango sanaaaa
 
Duuuuh bado sanaa bongo yetu afu tunawaza soko la kimataifa kweli

Eti soko la kimataifa wakati zile subtitles ni vituko mwanzo mwisho!! Ki-english cha hurry hurry no blessing!! Bongo movie bado sanaaaaaa, wao waendekeze ngono tu ndicho wanachoweza!!
 
Yaaani cjui lini tutaweza hata kuweka uhalicia ata kwa umbali tuuu duuh

Akili zetu hazitutoshi Mkuu! Kila kitu sanaa anzia pale Magogoni mpaka huku uraiani full sanaa! Kwa ufupi hatuna tunachokiweza chenye kuleta maendeleo kwa taifa!
 
Akili zetu hazitutoshi Mkuu! Kila kitu sanaa anzia pale Magogoni mpaka huku uraiani full sanaa! Kwa ufupi hatuna tunachokiweza chenye kuleta maendeleo kwa taifa!

Kweli ndugu kila kitu ni kubabaisha tu ce
 
Hata mm niliiona jana ni part 2,1 ilikuwa wiki ilopita.POILISA WANAMTAFUTA MTU KANA KWAMBA WANAJUA ALIPO na baada ya kumkamataa hata hawachukui tahaadhari na BASTOLA ya mhalifu inashikwa bila kujali ALAMA ZA VIDOLE.Na baada ya kumkamata wanaampeleka kwa mama yake mh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…