Maajabu ya bongo movie..

Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani nitoke nyumbani kwenda kuangalia movie mbovu kuliko nyanya iliyooza kisa eti ''nawaunga mkono'' wasanii wa nchi yangu? Mbona ukiumwa unakimbilia India na sio Muhimbili ili uwanyanyue madaktari wako ''? Hizi bongo movie zimekuwa ''design'' kuwafurahisha watu wenye viwango vya chini vya iq na si vingine!

The best should come from the best, fani ya sanaa ya filamu ifanywe na muungano wa vipaji na taaluma.
angalia hapa chini mkusanyiko wa watu wachache waliohusika katika filamu bora ya Oscar 2013;

12 YEAR A SLAVE

Steve McQueen (director)

He took A level art at Hammersmith and West London College, then studied art and design at Chelsea College of Art and Design and then fine art at Goldsmiths College, University of London, where he first became interested in film. He left Goldsmiths and studied briefly at New York University's Tisch School in the United States. He found the approach there too stifling and insufficiently experimental, complaining that "they wouldn't let you throw the camera up in the air".

[h=1]Chiwetel Ejiofor[/h]
Ejiofor began acting in school plays at the age of thirteen at Dulwich College and joined the National Youth Theatre. He then got into the London Academy of Music and Dramatic Art but had to leave after his first year, after getting a role in Steven Spielberg's film Amistad.

[h=1]Lupita Nyong'o[/h]
Nyong'o attended college in the United States. After graduating from Hampshire College with a degree in film and theatre studies,[SUP][17][/SUP] she worked as part of the production crew for many films,
She subsequently enrolled for a master's degree in acting at the Yale School of Drama.
While at Yale, she was the recipient of the Herschel Williams Prize "awarded to acting students with outstanding ability" during the 2011–12 academic year
 
Chiwetel Ejiofor

Ejiofor began acting in school plays at the age of thirteen at Dulwich College and joined the National Youth Theatre. He then got into the London Academy of Music and Dramatic Art but had to leave after his first year, after getting a role in Steven Spielberg's film Amistad.

Lupita Nyong'o

Nyong'o attended college in the United States. After graduating from Hampshire College with a degree in film and theatre studies,[SUP][17][/SUP] she worked as part of the production crew for many films,
She subsequently enrolled for a master's degree in acting at the Yale School of Drama.
While at Yale, she was the recipient of the Herschel Williams Prize "awarded to acting students with outstanding ability" during the 2011–12 academic year

Wazo zuri.., kumbe tatizo la wasanii wetu ni ELIMU DUNI ya sanaa ya filamu (From every angle), wanakurupuka ti kuigiza na ku-shoot ma filamu.
 
mhh jmn wasitukate stimu za kwenda movies aisee..hollywood started waaaay back,wawe wavumilivu
 
Inakadiriwa kwamba kiasi cha shillingi bilioni 12 hutumiwa kila mwezi na wa-Tanzania wa kipato cha kati na cha juu kwa ajili ya kuangalia imported movies kutoka Hollywood katika cinama halls mbalimbali hapa jijini. Hii inasikitisha kwa kiwango flani kwani pesa hizi zote zinakwenda nje ili hali tuna Movies (Bongo movies) za hapa ndani ambazo zinazidi kupanda ubora siku hadi siku, hivyo ingefaa sana movie hizi nazo zingeonyeshwa kwenye Cineama halls muone jinsi watu watakavyofurika na madem zao kuziangalia.., hii ingeinua sana uchumi wa industry yetu na uchumi wetu kwa ujumla. Nawasilisha.

12 Billion per month, Dar, Cinema?? Hizo statistics zako mbona umetudanganya sana, vipi hiyo estimate umeipata wapi? Movie theatre ziko ngapi dar? afu unasahau hazijazi watu, sijawahi ingia theater watu wakajaa hata kama ndio release date ya movie, sijawahi kosa tiket. Movie wanazoonyesha kwa siku, ngapi?? kwa mwezi? bei? Yani 12 billion labda kama unaongelea hela ya uganda..

Na hizo bongo movies huo ubora sijui unaousema ni upi, yani kuna movie ukizichanganya theatre na hollywood au hata bollywood movies zinaonekana kituko... Jambazi anavua viatu anaingia ndani? ndizo unazosemea??
Bongo waache kujuana au kuweka watu wenye majina kwenye movie labda watapata actors wa ukweli... sijui musa banz cjui director cjui ndio editor, afu ndio actor, na acting mbovu.... "Ahh unaniua" "haya nakufa" "haya nakufa" "ahh hivi umenipiga risasi" huu utani huu
 
Wazo zuri.., kumbe tatizo la wasanii wetu ni ELIMU DUNI ya sanaa ya filamu (From every angle), wanakurupuka ti kuigiza na ku-shoot ma filamu.
We unamchukua miss sijui nyantira unamuweka kwenye film, mara mwingine kapiga filamu ya ngono kapata jina, tayare bongo movie star.. mwingine muimba mziki, tayari bongo movie star... mwingine kashiriki sijui bongo star search, tusker pf tyr bongo movie star... movie kama hiyo theatre siingii, buku ten bora nikale mishkaki
 
Hhahahahahah...! burudani sana..!
 
12 Billion per month, Dar, Cinema?? Hizo statistics zako mbona umetudanganya sana, vipi hiyo estimate umeipata wapi? Movie theatre ziko ngapi dar? afu unasahau hazijazi watu, sijawahi ingia theater watu wakajaa hata kama ndio release date ya movie, sijawahi kosa tiket. Movie wanazoonyesha kwa siku, ngapi?? kwa mwezi? bei? Yani 12 billion labda kama unaongelea hela ya uganda..

Na hizo bongo movies huo ubora sijui unaousema ni upi, yani kuna movie ukizichanganya theatre na hollywood au hata bollywood movies zinaonekana kituko... Jambazi anavua viatu anaingia ndani? ndizo unazosemea??
Bongo waache kujuana au kuweka watu wenye majina kwenye movie labda watapata actors wa ukweli... sijui musa banz cjui director cjui ndio editor, afu ndio actor, na acting mbovu.... "Ahh unaniua" "haya nakufa" "haya nakufa" "ahh hivi umenipiga risasi" huu utani huu

hah hah hah...
 
Kuna movie nilikua nikiangalia hapa EATV inaitwa CHOZI LA BABA duuuh yaaan kuna kipande kimenishangaza sana yan mtu ameshindwa ata kupiga ishara ya msalaba kweli duuuh kwa style hii kweli uigizaji gani huu...

Kwa atakayeipata angalia kipande kile mama mtu na mwanae wa kike walipo kwenda kaburini kuangalia kabur la baba yao kilicho tokea ni kwamba wote wawili izo ishara tu za msalaba zimekuwa tatizo...

Movie za bingo soko la kimataifa bado sana
 
Mkuu hata mimi niliona nikashangaa sana,kuwaje watake kufanya ishara ya msalaba ilhal hawakufundishwa hivyo ktk kile wanachokiamini,na kwanini wahusika wasingeruhusiwa kwamba wafanye maombi kwa kuzingatia walichofundishwa ktk imani zao,wasanii wetu badilikeni hizo movie zenu hawaangalii wa Tz tu jaribuni kuigiza hali halisi ya mnachoigiza sio mnakariri then mkikosea hamfanyi hata editing kuondoa au kurekebisha kile mlichokosea,sijui ni njaa inawasumbua maana mnataka kuachia movie 10 ndani ya mwezi mmoja but ubora ni sifuri yaani zero,badilikeni mna-bore.
 
Afu nashindwa kuelewa kitu kimoja kwan wakisha shoot hawarudii kuiangalia ili kujua mapungufu mbali mbali
 
Ingefaa hata hawa wenye Tv station kabla hawajazirusha hewani waziangalie kama ulivyosema dosari yoyote itskayoonekana wapewe wakarekebishe,ni wendawazimu watu wanaigiza vitu wasivyovijua then wanaita eti movie,movie my foot..kuna kale kakipande mama yuko jikoni anakaanga kuku,wanapoteza mda kuonyesha jinsi mpishi anavyogeuza vipande vya kuku,kutoa kuweka kwnye sinia kisha kurudia tena hivyo hivyo yan sehem isiyokuwa na mpango wwte inachukua dk4,kikawida tungeona tu mama yuko jikon akipika kisha sekunde 10 tungeona wako mezani wanakula,wanachosha wasanii wetu.
 
Ingekuwa ikikaguliwa kama movie si bora unarydishiwa na ionyeshwi ingepunguza ma takataka haya
 
Back
Top Bottom