Nitawajibu nyie woote kwa wakati mmoja tena kwa kifupi sana. NI HIVII, Ubora wa movie ni directly proportional na kiwango cha pesa kinachowekezwa.., hilo halina ubishi wala halipingiki. Hivyo basi.., tukiweza kuonyesha bongo movies kwenye cinema halls hapa kwetu maana yake tutainua uchumi wa watengenezaji hizi filamu na consequently wataweza kutengeneza movie zenye ubora zaidi.., nasi tutaendelea kuziangalia zaidi na this cycle of improvement itaendelea mpaka tutakuwa na the best movies in Africa. Kwa sasa hivi tuko kwenye vicious cycle of poor earnings->-< poor quality over and over. Kwa sasa tujikaze kizalendo na tukaziangalie kwenye cinema halls hivyo hivyo na ubovu wake. lets hold hands and break this vicious cycle. Nawasilisha tena.