mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
hehehe haps nod utajua kuna muda ni kosa la Sinai kuzaliwa mwanaume Tanzania hahahahahaMi dume
hehehe haps nod utajua kuna muda ni kosa la Sinai kuzaliwa mwanaume Tanzania hahahahahaMi dume
Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania![]()
![]()
kwa nini jamani
Kabisa mkuu.Wanatafsiri mpaka jina hahahaha kwahiyo Mhogo mchungu angeitwa 'bitter cassava'! Bongo movie Mungu anawaona
haha haya bana hii ido accurate sana nana hujakosea umelenga mulemuleSaidia kukuza ubora wa filamu Tanzania
Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania
Ukisikia hii sauti ujue dada wa kazi yupo sebleni na kashika remote
Hiyo ndiyo kazi ya make up artist, specialized only kwenye make ups.. Anambadlisha actor/actress vile movie inavyotaka iwe...Khakhaakhaaaaa hatareeeeeeeeeeeeeeee!
ukiangalia movie lazier ukase na remote pembeni main mara husikii mara makelele base ball tutuWazushi tu,picha za kiswahili lakini zina majina ya kiingereza.
Picha inavyoanza tu, tayari mtu unafahamu itaisha vp.
Hazina ubora wa sauti na picha.
Lazima movie iwe na part one and two.
Aisee, hii ni kweli kabisa!sawa mimi pia siwapendi maana BONGO MOVIE wanabolonga bolonga. lakini pia mvuto wao unapungua zaidi kwasababu ya wao kukosa Uhuru wa kuutumia uhalisia, nikimaanisha kuwa wapewe haki ya kuigizia na gwanda halisi za jeshi au polisi, kutumia vituo halisi vya polisi, mahospitaki, makambini na hata sehemu nyingine zote zenye kuleta mvuto na uhalisia wenyewe. Pia Basata isimamie Kazi zao kulingana na kile walichokifanya,
Siku hizi hata hao house girl wanaangalia movies za korea zilizotafsiriwa kiswahili.Watetezi wa movie za kibongo ni wadada wa kazi....