Movie mtu yuko kijijini ana wave na black.. Au dada anaenda kazini kavaa mavazi ya disco mpaka kero. Au mkaka anaenda kazini lakini kavaa nguo za rangi rangi utafikiri mwanamuziki anaenda kufanya show.. Kila mfanyabiashara anaongelea containers bandarini.. Mtu akiigiza fani ya mtu mfano uhasibu au udaktari haombi kupigwa msasa na wenye fani yao.
Nafikiri kwenye quality tunaweza jitetea gharama but basi hata userious kwenye kazi. Hili kwenye bongo movies silioni, naona ulipuaji tu wa kazi. Makosa kibao sio kwenye uigizaji wala kwenye subtitles wala kwenye editing.
Nawashauri bongo movie wawe serious na kazi hata kama quality ya picha sio nzuri sana at least content na flow ya matukio inaweza vutia wazalendo kuangalia.