Maajabu ya bongo movie..

Mkuu umeona majanga hayo?? Hiyo picha ya mwisho anamaanisha "hataki hata kuniona nyumbani". Ha ha ha haaaa, imetoholewa moja kwa moja kutoka kwenye Kiswahili.
Hatari sana! Inabidi wakubali kwamba kazi nyingine wafanye wataalamu, kwa mfano hizo subtitle wanahitaji mtaalamu wa lugha na hasa aliyebobea katika fani ya translation na sio wao wenyewe na kiingereza chao cha english course!
 
Tatizo ni kwamba hakuna uwekezaji wa kutosha in these sectors.., Mnategemea kina JB na WEMA ndo wawekeze filam zivutie,,?? Wao wenyewe wanaganga njaa...,, Tukumbuke movie industry ni biashara kama biashara nyingine yeyote na inahitaji uwekezaji wa maana sio wa kitoto,,,,

Angalieni bhas hata wenzenu wanafanyaje,,, Movie moja inagharimu $ 1 billion na kuendelea,, zetu tukiwekeza sh. 10 million tunaona imetosha,, tutawafkia lini kwa design hii,,, Msiwape lawama waigizaji wawekezaji wenyewe hawajachangamkia fursa bado.....

Just wait for my billion dollar investment in cultural d'nt sector in TZ including { music, movies, modeling n.k}
 
sawa mimi pia siwapendi maana BONGO MOVIE wanabolonga bolonga. lakini pia mvuto wao unapungua zaidi kwasababu ya wao kukosa Uhuru wa kuutumia uhalisia, nikimaanisha kuwa wapewe haki ya kuigizia na gwanda halisi za jeshi au polisi, kutumia vituo halisi vya polisi, mahospitaki, makambini na hata sehemu nyingine zote zenye kuleta mvuto na uhalisia wenyewe. Pia Basata isimamie Kazi zao kulingana na kile walichokifanya,
 
Huenda ni mambo ya bluetooth, tekinolojia ime advance sana kaka.
 
mm huwa naona aibu kuangalia, kuna cku nliona matangazo ya movi ya. kibongo inaitw taksi driver nkajua itakuwa bonge la muvi, nkaenda kuazima, mweee! najuuta hata cjarudia tena mm ni teja wa hollywood.
Usikute ulidhani ipo kama ile 'taxi driver 'aliyocheza Robert De Nero 1976......kama ndivyo basi kosa ni lako sio la bongo muvi.
 
Kuna moja nilikuwa nacheki kwenye basi, character anaitwa 'Mwalimu Vumbi' na kwenye subtitles wanamuandika 'Teacher dust'.

Nikajiuliza hivi wanapoandaa hizi muvi wanatufikiriaje Watazamaji?
Wanatafsiri mpaka jina hahahaha kwahiyo Mhogo mchungu angeitwa 'bitter cassava'! Bongo movie Mungu anawaona
 
Wazungu wanasema embrace what you can do best.
Sasa kwa kua nyie ukilaza wa kukopi na kupaste is what you can do best basi acheni kutaka slope. Acheni kutaka muvi za nje zisiuzwe badala yake copini wanavoekt mmodify kidogo labda tutapenda.

Jaribuni muvi zifuatazo






 
Mm nataka kuingia kwenye bongo move nitawapataje wahusika ili nikaongee nao niifufue
 
Mm nataka kuingia kwenye bongo move nitawapataje wahusika ili nikaongee nao niifufue
Wanapenda undugu hao balaa. Ila kama we ni mdada ukiwapa mgegedo hata kama hujui utapewa kipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…