Karibu sana mwakitolyoUlikua poli gani mimi nimepiga nyarubezi, mavota, kanegere, dutwa, mwakitolyo na nikaja nikamalizia mwime hakika nikijifunza mengi japo kwa mateso sana. Kule watu wanatenda dhambi hadi shetani mwenyewe anashangaa na kujifunza dhambi mpya ila all in all ukitaka uwe kwenye angalau safe side basi we kuwa broker au kota ununue dhahabu iliyotayali, bado machimbo nayadai ipo siku nitarejea