Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,392
- 104,788
Hakuna mazingaombwe kwenye uchimbaji wa dhahabu mkuu.Kama ukiifanya kisayansi na ukawa mvumilivu utafanikiwa...ila ina mazingaombwe mengi sana

Kwa bei ya leo, kilo 2 za dhahabu ni karibu shilingi milioni 500 pesa ya TanganyikaMi nitakuja kurudi kwenye dhahabu lakin siyo kuchimba nitanunua hiyo dhahabu then nitaenda bank badala ya kifungua money account mi nitafungua gold account hapo nahakikisha naweka hata kilo mbili tukutane baada ya ten years
UKO SAHIHI SANA NDG!!!! MIE 2020 NILIKWENDA KUJARIBU KUCHIMBA UKO KATORO , LWAMGASSA, TEMBO, MHOLOLO, MATEBA NA VIJIJI VINGI TU UKO KATORO. NILIKAA KWA MUDA WA MWAKA, LAKINI KAMA ULIVYOKWISHA ELEZEA MAUZA UZA NA CHANGAMOTO ZA HAPA NA PALE, ILIBIDI KUUZA GARI KULIPA MADENI NA KUPATA NAULI YA KURUDI DAR KUJIPANGA UPYA !!!!!!! ILA SIYO MCHEZO!!!! HIZO PICHA UMENIKUMBUSHA MBALI SANA .Please note miaka hiyo one gramm ilikuwa 70 mpaka 90 elfu kama sikosei, ila sasa gram moja ni 100usd. = 260KHi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote.
View attachment 3282399
Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani.
View attachment 3282400
Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi kwa asilimia 90
Biashara ya dhahabu ni biashara ambayo inaweza ikakufanya milionea kwa mwezi mmoja na ikachukua pesa zako zote ukawa maskini ndani ya miezi mitatu.
Ardhi ina siri nyingi sana na pesa ina siri nyingi sana.
Unaweza ukachimba shimo au duara ukaambulia udongo tu, ila mwenzako akachimba pembeni tu akapata utajiri.
Pamoja na pesa walizonazo wachimbaji wa dhahabu, hakuna mtu mwenye pesa za kuwekeza kwa kiwango kikubwa cha kutumia sayansi kama wazungu.
Dhahabu ambayo tayari imechimbwa ni kama asilimia 3 tu ya dhahabu ambayo haijaguswa Tanzania.
Nimefanya kazi kwenye uchimbaji miiaka nane hakuna kitu utanidanganya kwenye dhahabu.
asante kwa ushauri wako mzuri umenipa mwangaAwali ya yote itambulike kuwa mimi si mjuzi kiviile wa hiyo Biashara.
Pili, hakuna sehemu nimewahi kuandika kuwa unaweza kuifanya kwa Mtaji mdogo.
Ninachoweza kusema;
Uwanda wa Biashara hiyo ni mpana mno.
Unaposema unataka kuifanya ni kutokea pembe ipi:
Kuchimba?
Kuichuuza eneo inapochimbwa,?
Kuileta mjini tokea inapochimbwa?
Kuisafirisha Ng'ambo ama vipi?
Lolote utakalolichagua kati ya hayo,
Je, swali la msingi lingine, wewe unaifahamu hiyo
Dhahabu yenyewe hata ukiiona?
inafananaje, au zipo za tofautitofauti kiasi gani?
Wapi inapatikana?
Kwenye mazingira gani na kwa utaratibu gani?
Iwapo unayo majibu chanya ya maswali hayo upo pazuri.
Lakini kama huna majibu hayo nashauri uyatafute mwenyewe na utaratibu mzuri ufike maeneo mengi li ujiridhishe kuujua ugumu amn urahisi wa mazingira muhimu ya chanzo cha mzigo wako.
kwann uliachaHi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote.
View attachment 3282399
Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani.
View attachment 3282400
Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi kwa asilimia 90
Biashara ya dhahabu ni biashara ambayo inaweza ikakufanya milionea kwa mwezi mmoja na ikachukua pesa zako zote ukawa maskini ndani ya miezi mitatu.
Ardhi ina siri nyingi sana na pesa ina siri nyingi sana.
Unaweza ukachimba shimo au duara ukaambulia udongo tu, ila mwenzako akachimba pembeni tu akapata utajiri.
Pamoja na pesa walizonazo wachimbaji wa dhahabu, hakuna mtu mwenye pesa za kuwekeza kwa kiwango kikubwa cha kutumia sayansi kama wazungu.
Dhahabu ambayo tayari imechimbwa ni kama asilimia 3 tu ya dhahabu ambayo haijaguswa Tanzania.
Nimefanya kazi kwenye uchimbaji miiaka nane hakuna kitu utanidanganya kwenye dhahabu.
Naunga mkono hojaokay
DAAAH LILIKUWA LIMENITOKA HILI CHIMBO HA HA HA 11 safi sana. nakumbuka hilo chombo zaidi zaidi ni kuuza mchanga wa dhahabu, ma lorry kama yote. sasa wakati harakati zinaendelea hapo MSASA, Mara chimbo la MLOLO mbele kidogo tu na MSASA ULUNipo MUSASA hapa sehemu moja panaitwa LUSUNGWA,KWA BIBI NA ZIZINI

Hivi kwanini imani za kishirikina kwenye uchimbaji madini na uvuvi ziko juu sana? Maeneo hayo?,halikadhalika uzinzi,ulevi,ugomvi,wizi na kila aina ya uovu vinashamiri sana maeneo hayo,why, twambie mkuu.Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote.
View attachment 3282399
Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani.
View attachment 3282400
Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi kwa asilimia 90
Biashara ya dhahabu ni biashara ambayo inaweza ikakufanya milionea kwa mwezi mmoja na ikachukua pesa zako zote ukawa maskini ndani ya miezi mitatu.
Ardhi ina siri nyingi sana na pesa ina siri nyingi sana.
Unaweza ukachimba shimo au duara ukaambulia udongo tu, ila mwenzako akachimba pembeni tu akapata utajiri.
Pamoja na pesa walizonazo wachimbaji wa dhahabu, hakuna mtu mwenye pesa za kuwekeza kwa kiwango kikubwa cha kutumia sayansi kama wazungu.
Dhahabu ambayo tayari imechimbwa ni kama asilimia 3 tu ya dhahabu ambayo haijaguswa Tanzania.
Nimefanya kazi kwenye uchimbaji miiaka nane hakuna kitu utanidanganya kwenye dhahabu.
Sawa mkuu kila lakheriNIPO HUKO NAELEWA NA SIFANYI HIZO ZA MTINDO HUO NAPELEKA MAABARA KUPIMWA NA KUFANYIA UCHAMBUZI.
We kama una amini ndege unayopanda ilejengwa kwa uchawi mbona ujafika ULAYASawa mkuu kila lakheri
Hapo mwakitoryo kuanzia mama ntikie, boda boda wamiliki wa Bar, wachimbaji hadi ma boss wote ni wachawiMwakitoryo ulikuwa namba ngapi nimechimba sana namba 2 na namba 3 baadae nikaondoka zangu ila nasikia siku hizi wachina wametapakaa vibaya mno. Dutwa na Nyarugusu nilikaa ila sikuwahi kuzidisha wiki kwenye hayo machimbo.
Ichawi ni sayansi ambayo haijathibitishwa, haipo kwenye makaratasiWe kama una amini ndege unayopanda ilejengwa kwa uchawi mbona ujafika ULAYA
Mpumbavu weweIchawi ni sayansi ambayo haijathibitishwa, haipo kwenye makaratasi
Ndege inatumia principle zilizo thibitishwa kama vile benouli principle , newtons law of motion n.k
Mganga anapoangalia uelekeo wa mkanda wa dhahsbu kwa kutumia sample ya jiwe la duarani anatumia principle nyingi ikiwemo law of probability na inaleta majibu zaidi ya gold detector watu wanachimba na wanapata kwa kipimo cha elfi tatu tu
Vijana wa mjini mjifunze udadisi msiwe na mindset isiyotoka nje ya box
Huu ni mfano wa gold detector ya kienyeji
Nipo gamboshi mkuu napata shule ya uchawi wenye tija, ninachokiandika ni kutoka field sio story za kusadikika
Sayansi ijawai kuwa uchawi. Ndio maana mganga wa kienyeji ajawai kuunda ndege mchanaIchawi ni sayansi ambayo haijathibitishwa, haipo kwenye makaratasi
Ndege inatumia principle zilizo thibitishwa kama vile benouli principle , newtons law of motion n.k
Mganga anapoangalia uelekeo wa mkanda wa dhahsbu kwa kutumia sample ya jiwe la duarani anatumia principle nyingi ikiwemo law of probability na inaleta majibu zaidi ya gold detector watu wanachimba na wanapata kwa kipimo cha elfi tatu tu
Vijana wa mjini mjifunze udadisi msiwe na mindset isiyotoka nje ya box
Huu ni mfano wa gold detector ya kienyeji
Nipo gamboshi mkuu napata shule ya uchawi wenye tija, ninachokiandika ni kutoka field sio story za kusadikika
Naona sina cha kujadiliana na wewe unaonekana ni mweupe kichwaniSayansi ijawai kuwa uchawi. Ndio maana mganga wa kienyeji ajawai kuunda ndege mchana
Sana mkuu 💯wtu mnapenda kuuliza maswali ya kijinga sana....unataka kuingia kwenye biashara ambayo hujui bei ya bidhaa sokoni fanya utafiti kilo moja sasa ni sawa na m250tzs lakini kuna watu wanafanya kwa mtaji wa laki 5 hio biashara...au chini ya hapo kabisa..cha muhimu unajua unachokinunua..unajua kinauzwaje na dhamani yake sokoni....ukifika field unakuta wachimbaji ni wajuzi kuliko wewe unauziwa mabati na maudongo unarudi na ni ngumu kutoboa