Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

Hiyo Biashara wqnafanikiwa ni wale wenye waganga konki

Mtu akikukopesha kizembe ujue kachungulia kwanza kwa mganga wake

Akinunua mawe ujue kapereka kipande kwa mganga wake kachungulua kwanza hawa wwtu wao hawahitaji gold detector

Biashara yenye ushirikina wa kiwango cha SGR,
Shida wachimbaji wengi wanatokea kwenye jamii zinazoamini ushirikina kwenye kila Jambo...wasukuma na Kanda ya ziwa...Ila ushirikina haina NAFASI kabisa...NI kumaliza ndugu na watoto...
 
Hiyo Biashara wqnafanikiwa ni wale wenye waganga konki

Mtu akikukopesha kizembe ujue kachungulia kwanza kwa mganga wake

Akinunua mawe ujue kapereka kipande kwa mganga wake kachungulua kwanza hawa wwtu wao hawahitaji gold detector

Biashara yenye ushirikina wa kiwango cha SGR,
Sio ushirikina ni mila na desturi za jamii za kiafrika,kabla hujawa brainwashed na dini za mashariki ya kati,bure wa head.
 
Nipe ABC mkuu kuliko kunikatisha tamaa mpunga ninao wa kutosha ninachozungumzia hapa teknolojia kulipa wafanyakazi kwangu sio shidaacgan
Nipe ABC mkuu kuliko kunikatisha tamaa mpunga ninao wa kutosha ninachozungumzia hapa teknolojia kulipa wafanyakazi kwangu sio shida

Achana na wasukuma wanaotumia Imani kwenye uchimbaji. Uchimbaji ni sayansi. Watu wanawekeza mabilion kwenye utafiti Ili apate madini mtu anakuja kuleta story za Imani.

Kwa taarifa tu utafiti ni ghali kuliko hata kuchimba kwenyewe. Ila sisi tunawekeza kwenye kuchimba zaidi ya utafiti.

Kuna kampuni nyingi za wazungu wanavuna Rare Minerals HUWEZ kusikia wanabahatisha. Ni wamewekeza kwenye tafiti so wako actual.

Tembelea tume ya madini Huwa wanauza vitalu Kwa bei nafuu sana ambavyo vimeshafanyiwa tafiti.

Fungua full plant na weka CIL Machine walau wa kusaga Tani 20 Kwa saa.

Nunua Howo walau 3

Excavator walau 1

Wheel loader 1

Na vifaa vingine.

Huo ni uwekezaji mkubwa si mchezo.

Mambo ya kuchimba madini ukiwa na mifupa ya fisi mfukoni ni ushamba wakati wachina wanakuja hapa na machines wanaondoka na dhahabu kama zote.

Unaweza kuwapitia Hawa EcoGraf

Soma investment waliyofanya halafu linganisha na investment za watanganyika wao wanaishia kwenye Kununua uchawi tu.

Hao wa Australian construction ya site tu ( mradi mzima ) ni Dola milion 58... Zaidi ya bilion 100 dadeki
 
naunga mkono hoja utafiti wanaofanya ni mabilioni ya dola na ukishalipa leseni kitalu kinakuwa chako kuna wachina niliwadodosa..wanasema baadhi ya vitalu dhahabu ni ndogo kuliko uwekezaji watakaoufanya kwa bei ya dhahabu kwa sasa kuichimba ni hasara kwa hio wanakwenda palipo na dhahabu nyingi zaidi ila wabongo wanavyopakomalia na kumaliza mitaji ni aibu...utasikia fedha ya dhabu mpaka uagwe na babu.wakati ni hesabu tu...
 
Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote.
View attachment 3282399

Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani.
View attachment 3282400

Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi kwa asilimia 90

Biashara ya dhahabu ni biashara ambayo inaweza ikakufanya milionea kwa mwezi mmoja na ikachukua pesa zako zote ukawa maskini ndani ya miezi mitatu.

Ardhi ina siri nyingi sana na pesa ina siri nyingi sana.

Unaweza ukachimba shimo au duara ukaambulia udongo tu, ila mwenzako akachimba pembeni tu akapata utajiri.

Pamoja na pesa walizonazo wachimbaji wa dhahabu, hakuna mtu mwenye pesa za kuwekeza kwa kiwango kikubwa cha kutumia sayansi kama wazungu.

Dhahabu ambayo tayari imechimbwa ni kama asilimia 3 tu ya dhahabu ambayo haijaguswa Tanzania.

Nimefanya kazi kwenye uchimbaji miiaka nane hakuna kitu utanidanganya kwenye dhahabu.
Uzi mzuri sana huu umetoa siri ambazo wengi tulikuwa hatujui.
Je kwa maoni yako unamshauri nini mtu ambaye anataka kujiingiza kwenye hiyo biashara ya madini kuanzia uchimbaji hadi uchuuzi wa madini?
Na mtaji anatakiwa awe na pesa ngapi ili biashara iende vizuri?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Mengi uliyoandika hapo ni ya kweli.

Tatizo hawa wachimbaji wa kibongo akili ya kuwekeza baada ya kubongoa (kupiga pesa) hawana. Wengi akili yao iko porini tu kuwa ndio kwenye pesa za haraka.

Madogo wa Chunya wakipata vibunda vya dhahabu wanakimbilia kununua magari "crown" na kuona fahari kupark Chunya Pazuri au viwanja vingine vya starehe. Porini kukibuma anauza gari unamkuta anatia huruma

Wachimbaji wengi ambao baada kubongoa wakawekeza kwenye vyanzo vingine vya mapato maisha yao hayatetereki hata ikitokea wameporora kwenye madini

Hii biashara ni nzuri pia ukiwa mnunuaji wa madini kutoka kwa wachimbaji unakuwa hauko katika risk
​
Njoo huku kanda ya ziwa uone wachimbaji wanavyopendezesha mji
Wana ma gest ma hotel majumba ya kufa mtu

Gali zao pendwa za polini ni Kluger za kutembelea ni VXV8
 
Nakupata sana yani swala kuwekeza wataalamu mtu yupo bora kuwekeza waganga.
Acha nitunze maeneo yangu ambayo PPm bado inanipa matumaini mpaka nikamilishe vibari.
Dhahabu haipo hivyo mkuu, kiuhalisia ukitumia gold detector unaweza usipate hata mia tofauti na ndumba

Kama nasema uongo waulize vijana wa mining UDSM waliokimbilia huko machimboni
 
Uzi mzuri sana huu umetoa siri ambazo wengi tulikuwa hatujui.
Je kwa maoni yako unamshauri nini mtu ambaye anataka kujiingiza kwenye hiyo biashara ya madini kuanzia uchimbaji hadi uchuuzi wa madini?
Na mtaji anatakiwa awe na pesa ngapi ili biashara iende vizuri?
wtu mnapenda kuuliza maswali ya kijinga sana....unataka kuingia kwenye biashara ambayo hujui bei ya bidhaa sokoni fanya utafiti kilo moja sasa ni sawa na m250tzs lakini kuna watu wanafanya kwa mtaji wa laki 5 hio biashara...au chini ya hapo kabisa..cha muhimu unajua unachokinunua..unajua kinauzwaje na dhamani yake sokoni....ukifika field unakuta wachimbaji ni wajuzi kuliko wewe unauziwa mabati na maudongo unarudi na ni ngumu kutoboa
 
Mkuu wewe huamini uchawi katika uchimbaji wa dhahabu?
Hakunaga uchawi, cha muhimu ni technology tu! Kinachofanya mchimbaji mdogo kuamini uchawi ni kwasababu wanabahatisha wanachimba bila kujua mkanda wa dhahabu uko wapi, mzungu mwenye technology anafanya exploration anajua madini kwa urefu upi nitayakamata, anaweza chimba mita80 kwenda chini akitafuta njia ya kuingilia ili afike madini yalipo na anajua yapo kiasi gani, atachimba kwa muda gani hadi kuishi, ila mchimbaji mdogo akifika mita30 anaenda kwa mganga amtabirie kimazingaombwe yale ya kubahatisha! Ndo kuanza kuambiwa kalete titi moja la Nicole, kalete kichwa chenye upara, sijui kalete nyeti za mtoto😀😀😀😀 kaue mwanao wa kwanza kumbe madini kayaacha kushoto kachimba kulia
 
Dhahabu haipo hivyo mkuu, kiuhalisia ukitumia gold detector unaweza usipate hata mia tofauti na ndumba

Kama nasema uongo waulize vijana wa mining UDSM waliokimbilia huko machimboni
NIPO HUKO NAELEWA NA SIFANYI HIZO ZA MTINDO HUO NAPELEKA MAABARA KUPIMWA NA KUFANYIA UCHAMBUZI.
 
  • Thanks
Reactions: apk

Hii biashara ni nzuri pia ukiwa mnunuaji wa madini kutoka kwa wachimbaji unakuwa hauko katika risk​
Hapa ndio mimi nahitaji kupata darasa jinsi gani ya kuanza hii biashara,mtaji wa kuanzia ni kiasi gani,pa kununulia ni wapi,soko la kuuza ni wapi.
Na cha muhimu zaidi najilinda vipi na utapeli wa kwenye madini,pia nawezaje kuyajua madini feki na halisi.
Msaada hapa
 
Nipe ABC mkuu kuliko kunikatisha tamaa mpunga ninao wa kutosha ninachozungumzia hapa teknolojia kulipa wafanyakazi kwangu sio shida

Ukute una ka-milioni 100 kako unadhani Una Hela nyingiii, Teheee!!

Ndg.,
Biashara Si-ya Dhahabu pekeyake na ya Madini yoyote yale,
Si kwamba inahitaji Pesa nyingi pekeyake.
Elimu ni muhimu kabla ya kuianza Biashara yenyewe.
Kuna mdau kasema toka, katembee Saiti na isiwe sehemu moja tu,
Hilo ndio la msingi na sekondari kupita maelezo yoyote atakaekupa yeyote yule.

Endelea kuagiza taarifa ukiwa hapo kwenye Sofa likukute jambo.

Nawasilisha.
 
Uchimbaji wa dhahabu una tofautiana kulingana maeneo kwa mfano gharama za kuchimba chunya ni tofauti na kahama kitu ambacho naweza kukushauli ni kuwa nenda field ukajionee na ujifunze, kuwa na hela siyo tatizo sisi baada ya kufanya uchimbaji bila technology tulipata hela ya kutosha tukaamua kutumia geologist ili tuwe na uhakika na tunachofanya ajabu hapo ndo tukafirisika kabsa so take time and make risk calculation before investing your money
Technology inatofautiana, kuna zile machine zenye uwezo mdogo ambao haufiki mbali, za kuuzwa milioni 6_15 ufanyaji kazi wake mmhh huwa ni wa kubahatisha, company kubwa kubwa wanatumia technology ya billions of money ili kujua wanafanya nini, kwa mfano kama exploration inatumia billions of money zile equipments wanazotumia kupimia uoatikanaji wa dhahabu na kujua how far ni za pesa mingi ambayo mchimbaji mdogo ukute hata mtaji uliopo haufiki robo ya kifaa cha kupimia ardhini.
Pesa lazima ikate
 
Ukute una ka-milioni 100 kako unadhani Una Hela nyingiii, Teheee!!

Ndg.,
Biashara Si-ya Dhahabu pekeyake na ya Madini yoyote yale,
Si kwamba inahitaji Pesa nyingi pekeyake.
Elimu ni muhimu kabla ya kuianza Biashara yenyewe.
Kuna mdau kasema toka, katembee Saiti na isiwe sehemu moja tu,
Hilo ndio la msingi na sekondari kupita maelezo yoyote atakaekupa yeyote yule.

Endelea kuagiza taarifa ukiwa hapo kwenye Sofa likukute jambo.

Nawasilisha.
Sina uzoefu kwa migodi ya tz ninauzoefu wa migodi ya nje kama Congo mozombiqu
So sio mgeni kwenye kipengele cha dhahabu naongelea uwekezaji wa Tanzania
 
Ukute una ka-milioni 100 kako unadhani Una Hela nyingiii, Teheee!!

Ndg.,
Biashara Si-ya Dhahabu pekeyake na ya Madini yoyote yale,
Si kwamba inahitaji Pesa nyingi pekeyake.
Elimu ni muhimu kabla ya kuianza Biashara yenyewe.
Kuna mdau kasema toka, katembee Saiti na isiwe sehemu moja tu,
Hilo ndio la msingi na sekondari kupita maelezo yoyote atakaekupa yeyote yule.

Endelea kuagiza taarifa ukiwa hapo kwenye Sofa likukute jambo.

Nawasilisha.
Samahani nilikuwa nataka kujua naweza kuanza na mtaji wa shs kwenye hii biashara ya dhahabu? maana naipenda sana nataka nianze hii biashara maana naona unasema ni elimu tu hata mtaji mdogo unatosha?? naomba unisaidie
 
  • Thanks
Reactions: apk
Achana na wasukuma wanaotumia Imani kwenye uchimbaji. Uchimbaji ni sayansi. Watu wanawekeza mabilion kwenye utafiti Ili apate madini mtu anakuja kuleta story za Imani.

Kwa taarifa tu utafiti ni ghali kuliko hata kuchimba kwenyewe. Ila sisi tunawekeza kwenye kuchimba zaidi ya utafiti.

Kuna kampuni nyingi za wazungu wanavuna Rare Minerals HUWEZ kusikia wanabahatisha. Ni wamewekeza kwenye tafiti so wako actual.

Tembelea tume ya madini Huwa wanauza vitalu Kwa bei nafuu sana ambavyo vimeshafanyiwa tafiti.

Fungua full plant na weka CIL Machine walau wa kusaga Tani 20 Kwa saa.

Nunua Howo walau 3

Excavator walau 1

Wheel loader 1

Na vifaa vingine.

Huo ni uwekezaji mkubwa si mchezo.

Mambo ya kuchimba madini ukiwa na mifupa ya fisi mfukoni ni ushamba wakati wachina wanakuja hapa na machines wanaondoka na dhahabu kama zote.

Unaweza kuwapitia Hawa EcoGraf

Soma investment waliyofanya halafu linganisha na investment za watanganyika wao wanaishia kwenye Kununua uchawi tu.

Hao wa Australian construction ya site tu ( mradi mzima ) ni Dola milion 58... Zaidi ya bilion 100 dadeki
🙏🙏🙏
 
Ulikua poli gani mimi nimepiga nyarubezi, mavota, kanegere, dutwa, mwakitolyo na nikaja nikamalizia mwime hakika nikijifunza mengi japo kwa mateso sana. Kule watu wanatenda dhambi hadi shetani mwenyewe anashangaa na kujifunza dhambi mpya ila all in all ukitaka uwe kwenye angalau safe side basi we kuwa broker au kota ununue dhahabu iliyotayali, bado machimbo nayadai ipo siku nitarejea
Mwakitoryo ulikuwa namba ngapi nimechimba sana namba 2 na namba 3 baadae nikaondoka zangu ila nasikia siku hizi wachina wametapakaa vibaya mno. Dutwa na Nyarugusu nilikaa ila sikuwahi kuzidisha wiki kwenye hayo machimbo.
 
Back
Top Bottom