madini ya dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jifunafu

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Wakuu salaam, Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita. Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mavunde: Sekta ya madini ya dhahabu, inachangia asilimia 30 ya maduhuli ya serikali

    "Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na ulitoa maelekezo katika Mkoa wetu tutoe leseni kwa wanawake, Vijana na wenye ulemavu na wapo akinamama...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Bei ya madini ya dhahabu Tanzania

    Bei ya madini ya DHAHABU leo Tarehe 19 July kwa kila gram 1 ni kama ifuatavyo: ■ soko la dunia gram 1 ni Tsh 280,822/= ■Soko la Tanzania gram 1 ni Tsh 252,740/= Wewe unafikiri ni kwanini bei inatofautiana hapo??
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  5. Khalifavinnie

    JamiiForums Tanzania Kazi ya dhahabu ni nini?

    Dhahabu imekuwa moja ya madini ya kushangaza sana mbali na kutumika katika mapambo ya vitu na muundo wa vito, hii haitoshi kuiwakilisha katika umaarufu wake na ukuu wake katika jamii. Imekuwa na nguvu ya kushangaza kuzidi hata UHAI.
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote. Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani. Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  8. Brojust

    JamiiForums Tanzania Geolojia inasemaje katika hili, Je kwanini Zanzibar hakuna madini ya dhahabu, copper au Almasi?

    Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa. Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ? Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Dhahabu ya shilingi bilioni 3.4 yakamatwa Bandarini yakitoroshwa

    Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madini ya Dhahabu Kilo 15.78 yenye thamani ya Tsh Bilioni 3.4 yakamatwa Bandari ya Boti Dar yakitoroshwa kwenda Zanzibar

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo. "Nchi...
Back
Top Bottom