Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,110
- 1,077
kwa hiyo ni nyara za nani?Huyo kamanda wa polisi zinamtosha kweli?
Yani na yaliyotokea yote bado anaamini hiyo ni nyara ya serikali?
kwa hiyo ni nyara za nani?Huyo kamanda wa polisi zinamtosha kweli?
Yani na yaliyotokea yote bado anaamini hiyo ni nyara ya serikali?
Licha ya kwamba ni mzawa wa huku haimaanishi natetea kuhusu uwepo wa uchawi,ninaamini upo kama ilivyo katika maeneo mengine nchi hii.
Ninachokikataa ni watu kurank sumbawanga km sehemu ambako uchawi ni tishio si kweli,unaweza kunieleza ni mkoa gani Tz ambako hakuna uchawi?
Mganga kutoka MachameUkipita mitaa utaona vibao tu vyajieleza:
Mganga kutoka sumbawanga
Mganga kutoka Tanga
Mganga kutoka Kigoma
Ila kuna baadhi ya sehemu huoni waganga kutoka huko...
We huoni yatosha kujieleza kuwa maeneo hayo yana uchawi mwingi?
kwenye maabara ya asili ya afrika kaka inawezekana.lakini kwenye maabara ya wazungu sijui!Mh...! mambo mengine sijui yanawezaje kufanyiwa utafiti wa kisayansi ili kufahamu uhusiano uliopo kati ya kupigwa kwa nyoka na kuuwawa kwa mmiliki wa nyoka.
Kama mtu aliyesoma Cambridge na mwingine UDOMUkipita mitaa utaona vibao tu vyajieleza:
Mganga kutoka sumbawanga
Mganga kutoka Tanga
Mganga kutoka Kigoma
Ila kuna baadhi ya sehemu huoni waganga kutoka huko...
We huoni yatosha kujieleza kuwa maeneo hayo yana uchawi mwingi?
Bado hatujajua pengine jamaa alikuwa ni msanii...kama wale ambao hucheza na majoka
Muwe mnaandika vitu mkiwa na uhakika,unamewahi kusikia tukio gani la ajabu kuhusu uchawi Sumbawanga? watu wanatia chumvi mno kumbe uhalisia wake hata sio hivyo.
Haha masela wamepuuzia maneno ya marehemu na kumdedisha Nyoka John matokeo yake wamemdedisha na jamaa
wadau sio watu wa mchezomchezo taar kashakua nyoka John/Yohana

songea ni jambo la kawaida
Nahisi wewe ndiye hiyo 1.Watanzania tunatumia 1/10 ya uwezo wetu wa akili...kwa utafuti wangu kifo cha jamaa kilisababishwa na kuumwa na nyoka aliyekuwa amemficha kwenye koti na hakuna ushirikina hapo