mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,527
- 10,538
Halafu kijana mdogo miaka 26. Short cut mbaya.
aokoke amefanya kosa gani? kwani kuishi na nyoka ni dhambi?Alitakiwa aokoke haraka na kutubu dhambi zake.
Shikamoo dadaMimi nahisi yule nyoka alikuwa na sumu kali na alishamgonga mwenyewe na labda alikuwa anajaribu kumgonga na dereva wa boda boda. Wangecheck mwili wa marehemu kama hauna sumu na aina ya nyokja.
Kilaaliyerusha jiwe ajiangalieyHaha masela wamepuuzia maneno ya marehemu na kumdedisha Nyoka John matokeo yake wamemdedisha na jamaa
Kweli kabisaaokoke amefanya kosa gani? kwani kuishi na nyoka ni dhambi?
waliomuua nyoka ndio wana dhambi wanapaswa kutubu au kuokoka
wanyama wote wana haki ya kuishi Komba alikuwa anamtunza, walomuua ndio wana makosa kwa sababu hakuwadhuru wamemkatishia maisha yake pasi na sababu za msingiKweli kabisa
waongezewe pia shtaka la kuharibu kielelezo..huyo nyoka angebaki hai angetumika kama kielelezoWaongezewe shitaka la kuua nyara za serekali
Muwe mnaandika vitu mkiwa na uhakika,unamewahi kusikia tukio gani la ajabu kuhusu uchawi Sumbawanga? watu wanatia chumvi mno kumbe uhalisia wake hata sio hivyo.Songea, Kigoma, Sumbawanga.....hili ni jambo la kawaida sana kwao. Wengi wanaofanya hivi yaani kufuga nyaraka za serikali ni wale wanaotafuta utajiri kupitia nguvu za giza.
hivi wewe huoni hata jina linajielezatu sumba WangaMuwe mnaandika vitu mkiwa na uhakika,unamewahi kusikia tukio gani la ajabu kuhusu uchawi Sumbawanga? watu wanatia chumvi mno kumbe uhalisia wake hata sio hivyo.